• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda afanya ziara katika Wilaya ya Temeke kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Posted on: April 17th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda afanya ziara katika Wilaya ya Temeke kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa fedha toka Serikali kuu, Mapato ya ndani ya ndani na fedha za wadau wa ndani na nje.

 Ziara hiyo ni mwendelezo wa ukaguzi wa miradi yote ya maendeleo katika halmashauri zote za Mkoa wa Dar es salaam ili kujiridhisha na taarifa anazopokea na  thamani halisi ya fedha ilivyotumika.


Katika ziara hiyo Mh. Mkuu wa Mkoa  amepongeza kasi ya utekelezwaji wa miradi hiyo na namna inavyosimamiwa, pamoja na mambo mengine alitembelea na kujionea ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Kijichi,Malela, ukaguzi wa miundombinu ya maji Charambe, pamoja na ujenzi wa ghorofa mbili zahanati ya Yombo Vituka.

Akiwa katika zahanati ya Yombo Vituka Mh. Mkuu wa mkoa alipongeza uongozi wa Manispaa ya Temeke kwa kuweka vipaombele kwa wananchi wake na kuamua kuwekeza fedha zake na kujenga zahanati kubwa ya mfano tena kwa mapato ya ndani, ameagiza kasi ya utekelezaji wake iongezwe ili ikamilike kwa wakati na huduma zianze kutolewa.



Katika hatua nyingine Mh Makonda ameshauri wakandarasi wazawa kupewa kipaombele katika tenda mbalimbali zinazotangazwa ili kuonesha ufanisi wao katika kazi na kuongeza ujuzi kupitia wakandarasi wa nje.

Mwisho kabisa Mh. Makonda alifurahishwa na namna Manispaa ya Temeke ilivyojipanga kielimu kuhakikisha kila mtoto anapata elimu iliyo bora, na alisema wazi kuwa amefurahishwa kwa ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wenye uoni hafifu, pamoja na hayo aliahidi kuwasomesha kidato cha tano watoto mia wa kike wa Mkoa wa Dar es salaam watakaofaulu masomo ya sayansi na kulipiwa gharama zote za masomo pamoja na mahitaji yao.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke