• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MRADI WA DMDP AWAMU YA PILI MBIONI TEMEKE

Posted on: July 17th, 2024

Na: Joanita Joseph -TMC Habari


Ni maandalizi ya Mradi wa Dar es salaam Metropolitan Development Project (DMDP) Awamu ya pili ambapo leo Julai 17, 2024 wakandarasi wametembelea miundombinu inayotarajiwa kuendelezwa ikiwemo barabara na vivuko kupitia Mradi huo ili waweze kujaza zabuni zilizotangazwa kwa ajili ya kuwapata wakandarasi watakaotekeleza jukumu hilo.


Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Dorothy Kilave naye alipata wasaa wa kuungana na timu hiyo kujionea mikakati pamoja na kutoa maelekezo kadhaa kwa Manufaa ya Wananchi wa Jimbo la Temeke.


Akizungumza akiwa katika barabara ya Pendamoyo, Temeke Mhe. Kilave amesema


"Uboreshaji wa barabara na vivuko utaimarisha uchumi kwa wanaTemeke lakini hata athari za mafuriko pia zitapungua kwa kiasi kikubwa, mradi huu utakwenda kuboresha maisha ya wanaTemeke, mimi niwatakie kila la kheri tukachape kazi" alisema Mhe. Kilave


Miongoni mwa barabara zilizotembelewa leo ni pamoja na Masuliza, kilimahewa, konisaga, kurasini, taningira, uhasibu, pendamoyo, pendamoyo 1, kizota, Mandera, lushoto, mkumba, pamoja kivuko cha shehe Mucki, Baajun, Mpeta na Mdeda.


Ikumbukwe kuwa mnamo Februari 21, 2024 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Dunia zilisaini Mkataba wenye thamani ya Euro 361.1 sawa na Bilioni 988.083 kwa ajili ya kuboresha Miundombinu muhimu ya umma na huduma jijini Dar es Salaam ikiwemo wilayani Temeke ambapo takribani barabara zenye jumla ya kilomita 52.71 zinatarajiwa kuboreshwa kwa kiwango cha lami/zege pamoja na ujenzi wa vivuko 8 wilayani Temeke.


Ujio wa Mradi huu (DMDP Phase 2) utakwenda kubadilisha taswira ya Manispaa ya Temeke na kurahisisha usafiri kwa Wananchi kutoka eneo moja kwenda jingine jambo litakaloongeza chachu katika ukuaji wa vipato vyao na pato la Taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke