• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

NAIBU MEYA AFURAHISHWA NA UJENZI SOKO LA MACHINGA DODOMA

Posted on: September 24th, 2022

Naibu meya wa manispaa ya Temeke mheshimiwa Arnold Peter ameonesha kufurahishwa kwake na ujenzi wa soko la wazi la Wamachinga jijini Dodoma.

Akiwa ameambatana na madiwani wa halmashauri ya manispaa yaTemeke pamoja na baadhi ya wataalamu wa Manispaa hiyo waliopo katika ziara ya mafunzo jijini Dodoma,naibu Meya huyo amesema miradi yote waliyotembelea ni mizuri,ila mradi wa Soko la Wamachinga umewagusa wanufaika halisi.

"Ukisema nichague mradi upi kwangu ni bora, nitasema ni huu(soko la Wamachinga) japokuwa miradi yote ni mizuri".Alisema Mhe.Arnold

Naye mkuu wa idara ya utumishi na utawala wa manispaa ya Temeke ndugu Bihaga Yogwa amesema kuwa lengo la ziara hiyo limefanikiwa kwa kuwa wamejifunza mambo mengi ambayo watakapoanza kuyatekeleza,yatawanufaisha.

Mchumi kutoka halmashauri ya jiji la Dodoma ndugu Amani Ng'oma amesema ujenzi wa soko hilo la kisasa la wazi la Wamachinga umetumia kiasi cha shilingi bilioni 9.5 zilizotokana na makusanyo ya mapato ya ndani na fedha kutoka serikali Kuu huku akibainisha kuwa ujenzi wa Soko hilo umezingatia mahitaji muhimu ya Wafanyabiashara hao.

Mhe.Fatuma Shija ambaye ni diwani wa viti maalum Temeke amesema endapo Viongozi hao wa Wananchi na Wataalamu watashirikiana wana uwezo wa kufanya mambo makubwa kama hayo kwa kuwa Temeke ni manispaa yenye uwezo wa kukusanya mapato mengi.

Katika ziara hiyo waheshimiwa Madiwani na baadhi ya wataalam mbalimbali kutoka halmashauri ya manispaa ya Temeke,walifanikiwa pia kutembelea stendi kuu ya mabasi Dodoma,soko kuu la Job Ndugai,hoteli ya Dodoma City inayojengwa na halmashauri ya jiji la Dodoma.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke