• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Naibu Waziri wa maji atembelea miradi ya Maji kata ya Tandika na Sandali Manispaa ya Temeke

Posted on: March 15th, 2019

Naibu Waziri wa Maji Mh Juma Hamidu Aweso afanya ukaguzi na kutembelea miradi ya maji iliyopo katika kata ya Tandika na Sandali ndani ya Manispaa ya Temeke.

Katika ziara hii Mh Waziri aliambatana na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ,Kilimo na Mifugo ambapo kwa pamoja waliweza kusomewa ripoti ya miradi yote miwili na kisha kutembelea kata zilizounganishwa  kujionea uhalisia wa upatikanaji wa maji kwa wakati.

Akisoma taarifa ya mchakato mzima wa upatikanaji wa maji katika maeneo hayo Eng  wa Maji ndugu Primy Damas alibainisha mbele ya wajumbe kwamba, miradi hiyo imekuwa msaada sana kwa wakati wa maeneo hayo na hata wa kata jirani kwakuwa maji ni ya uhakika na yanapatikana muda wote na zaidi sana ni salama kwa matumizi ya majumbani.

“Maji haya yamekuwa chachu ya maendeleo kwani yamesaidia akina mama wengi kutotembea mwendo mrefu kutafuta maji kwakuwa maji yanapatikana wakati wote, na kwa kata ya Tandika jumla ya wakazi 5140 wananufaika na huduma hii ya mani safi na salama” Alibainisha

Aidha mtandao wa mabomba umeongezeka kutoka 4000 mpaka 5080 na idadi ya vituo vya kuchotea maji vimeongezeka kutoka 8 mpaka 10 na wateje 21 wa majumbani waliunganishiwa maji .

Pamoja na hilo Eng Primy alibainisha kwamba mradi wa maji wa Sandali (Mamboleo B)umekamilika na unafanya kazi , mradi huu unanufaisha wakazi 5250 katika kuwapatia huduma ya maji.

Eng Primy alifafanua zaidi kwamba, mahitaji halisi ya maji ni kiasi cha lita za ujazo 135.33 milioni kwa siku (wastani wa lita 80 kwa mtu kwa siku) wakati kiasi halisi kinachopatikana ni lita za ujazo 90.7 milioni kwa siku sawa na asilimia 67 tu ya mahitaji ya wakazi wa Manispaa ya Temeke kwa matumizi ya aina zote ,majumbani ,viwandani na shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii.

Pamoja na hayo vyanzo vya maji yanayopatikana kwa siku yanatokana na visima virefu vya maji ,mtandao wa mabomba ya DAWASA  kutoka Ruvu Juu/Chini na mengine kutoka chanzo cha mto Kizinga –Mtoni alifafanua Eng wa Maji.

Hivyo basi Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwa pamoja na DAWASA na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali inaendelea kushirikiana katika kuhakikisha kwamba wakazi wa Manispaa ba Wilaya kwa ujumla wanapata huduma ya maji safi na salama karibu na makazi yao

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke