• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"RAMANI ZOTE ZA UJENZI WA VYOO VIPYA VYA WANAFUNZI TEMEKE VIZINGATIE MAHITAJI YA WATOTO WA KIKE NA WENYE ULEMAVU" DC GODWIN GONDWE.

Posted on: November 30th, 2020

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Godwin Gondwe ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Manispaa, kuanzia leo ramani zote zinazoandaliwa kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo hususani  vya wanafunzi wa shule kuzingatia mahitaji muhimu ya watoto wa kike na wenye ulemavu.

Ameyasema hayo leo katika muendelezo wa ziara zake za kila siku za kutembelea na kujionea maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa katika wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

Katika ziara yake ameambatana na kamati ya Ulinzi na usalama, kaimu katibu tawala wa wilaya Bi Bertha Minga, muwakilishi wa Mkurugenzi ambaye pia ni Mkuu wa kitengo cha manunuzi Ndg Sosthenes  Chacha pamoja na wataalam wengine kutoka ofisi ya Mkurugezi ambao ni wakuu wa Idara na vitengo.

Ziara yake imelenga kukagua miundombinu ya Shule ikiwemo bweni la wanafunzi, matundu ya vyoo, madarasa, na maabara katika shule ya sekondari Mikwambe. 

Aidha ujenzi wa jengo la gorofa la madarasa ya kidato cha V na VI Mbagala , vilevile ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa 12 katika shule ya sekondari Mbagala kuu.

Akiongea wakati wa majumuhisho Mhe Mkuu wa wilaya amesema miradi hiyo iko vizuri na pongezi kubwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa Ndg Lusubilo Mwakabibi na wataalam wake, lakini yako mambo ameyabaini yanayotakiwa kufanyiwa kazi ambayo ni: Ujenzi wa vyoo uwe na sehemu maalum ambayo watoto wakike watajisitiri wakati wa hedhi. 

Kwa upande wa vyoo vitakavyojengwa katika shule kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi kuanzia sasa lazima vikidhi mahitaji ya wanafunzi wenye ulemavu.

Sambamba na hilo amesistiza miradi yote katika wilaya ya Temeke izingatie thamani ya pesa "value for money" bila kusahau miradi ikamilike kwa wakati kwa mujibu wa mkataba na iwe ya viwango vya juu na rangi zipakwe vizuri zivutie. 

Vilevile mifumo mizuri ya uvunaji maji ya mvua, kama eneo ardhi yake maji yanapatikana vichimbwe visima ili kuhakikisha wakati wote wanafunzi wanapata maji safi na salama.

Aidha majengo ya shule za Sekondari yajengwe kwa kizingatia tahadhari za hali ya juu za majanga ya moto kwa kuhakikisha hakuna nyaya za umeme zilizo wazi katika mabweni na vyumba vya madarasa, pia kuwepo kwa vidhibiti moto na wanafunzi wapewe mafunzo ya matumizi ya vifaa hivyo vya kudhibiti majanga ya moto.

Kwa upande wa mwakilishi wa Mkurugenzi Ndg Sosthenes Chacha amemshukuru Mhe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kuleta fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo Temeke hususani ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa 54, pia amemshukuru Mhe Mkuu wa wilaya kwa kuwa karibu katika kufuatilia na kutoa ushauri wa namna bora ya kutekeleza miradi hiyo ya maendeleo.














Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke