• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

RAS MPYA DSM AKABIDHIWA OFISI RASMI

Posted on: July 29th, 2020

KATIBU TAWALA MPYA WA MKOA WA DAR ES SALAAM  AKABIDHIWA OFISI RASMI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Mhe Abubakar Kunenge amemkabidhi rasmi ofisi Katibu Tawala mpya wa Mkoa huo Bwana Paulo Mashimo Mkanza ambaye anachukua nafasi hiyo kufuatia uteuzi uliofanyika hivi karibuni na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ilala Boma na kuhudhuriwa na wakuu wa Idara wa ofisi hiyo ya Mkuu wa Mkoa.


Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Paulo Mashimo Makanza  aliyeketi kulia na Mkuu wa Mkoa Mhe Abubakar Kunenge katika picha ya pamoja na wakuu wa Idara wakati wa makabidhiano ya ofisi .


Wakati wa makabidhiano hayo, aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Abubakar Kunenge ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Mkoa huo amemhakikishia Katibu Tawala mpya kuwa watendaji katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Manispaa zote za Jiji la Dar es Salaam ni wachapa kazi, kwa kipindi chote akiwa katika nafasi hiyo wamemuonyesha ushirikiano wa kutosha katika utendaji kazi.

Lakini pia yako mafaniko makubwa ambayo Mkoa umepata katika nyanja anuai,kama vile Miundombinu,Elimu,Afya, Masoko, Utoaji wa mikopo ya 10%, Utawala bora na vingine vingi, sambamba na hilo yatupasa kuendelea kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ikiewemo kubuni vyanzo vipya vya mapato ili mapato yaongezeke mara dufu zaidi.

Aidha Ndg Paulo Mashimo Makanza amemshukuru Mkuu wa Mkoa na wataalam wote pamoja na wakuu wa Idara katika Mkoa huo, amewahakikishia kuchapa kazi kwa kuzingatia weledi na uwajibikaji mahala pa kazi pia kufanya kazi kwa umoja kwa kufuata Sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma.

Katibu Tawala mpya Bwana Paulo Mashimo Makanza akitoa neno baada ya kukabidhiwa ofisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.


Mwisho Katibu Tawala mpya amemshukuru Mhe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kumteua kuchukua nafasi hiyo ya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa heshima hiyo aliyopewa amehaidi kachapa kazi kwa kasi ya  juu ili kuwaletea maendeleo wana Dar es Salaam na Taifa la Tanzania kwa ujumla.


Baadhi ya wataalam ambao ni wakuu wa Idara katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakisikiliza kwa makini wakati wa makabidhiano hayo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke