• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

RC CHALAMILA AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA DAR

Posted on: November 23rd, 2023

Na Shamsi Dady - TMC Habari.


Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam Mhe.Albert Chalamila amefungua rasmi mafunzo elekezi kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata zote mkoani Dar-es-salaam.


Akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo leo Novemba 23,2023 katika ukumbi mkubwa wa mikutano wa halmashauri ya Manispaa ya Temeke (Iddi Nyundo), huku akisisitiza Maafisa hao kuwa waadilifu na misingi imara ya utekelezaji wa majukumu,amesema lengo kuu la mafunzo hayo ni kudumisha utekelezaji kwa ufanisi,kwa kuzingatia uongozi na utawala bora.


Kadhalika Mhe. Chalamila amewakumbusha Watumishi hao kuwa na usawa wanapoanza mafunzo hayo, bila kujali utofauti wa ngazi za elimu walionao.


"Elimu uliyonayo sio suala, na ndio maana hamjaja hapa kuchukua mafunzo ya shahada au stashahada ,kwa maana ni mafunzo ya muda mfupi ambayo yanatukumbusha wajibu wetu."Alisema Mkuu wa Mkoa.


Naye mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Sixtus Mapunda, alipata nafasi ya kumkaribisha mgeni rasmi na wageni waalikwa na kupongeza mafunzo hayo kufanyika ndani ya wilaya yake.


"Nawashukuru sana kwa heshima mliotupatia ,kwa kutuletea shughuli mzima Temeke,kupata fursa ya hawa Viongozi Kufanya mafunzo yao Temeke kwa sababu mbalimbali." Alisema Mhe. Mapunda.


Mafunzo hayo ambayo viongozi mbalimbali wameshiriki ufunguzi wake, akiwemo mkurugenzi msaidizi OR - TAMISEMI ndugu Ibrahim Pius Minja, katibu tawala msaidizi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam,ndugu Sudi Mpili, naibu mkuu wa chuo cha Mipango,Fedha na Utawala ndugu Lazaro Kisumbe,pamoja na wadau mbalimbali yanatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa ya kiutendaji kwa Maafisa hao ambao ndio wawakilishi wa Wakurugenzi na Wakuu wa wilaya katika maeneo yao.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke