• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

RC CHALAMILA AHIMIZA MATUMIZI SAHIHI YA SERVICE ROAD

Posted on: January 20th, 2025

Kuelekea Mapokezi ya ugeni wa Viongozi wa Mataifa mbalimbali Barani Afrika watakaohudhuria Mkutano wa Matumizi ya Nishati safi Nchini kuanzia tarehe 27 Januari, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila amefanya Ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo hususani ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi), ukarabati wa ukumbi wa Karimjee, ukumbi wa mikutano wa kimataifa JINCC na miradi mingineyo.


Akizungumza na Waandishi wa habari mhe. Chalamila amesema kama Mkoa tunapaswa kujiandaa na mapokezi ya ugeni kwa kuzingatia masuala mbalimbali ikiwemo matumizi sahihi ya barabara lengo ni kuacha mji wetu ukiwa unaonekana na upo katika utaratibu mzuri.


"Tumekubaliana "road reserves" sio parking za malori, tumeshakubaliana na wenzetu vyombo vya dola, kwa mtu yeyote atakayekaidi kuondoa malori hayo itakua ni sawa na ku 'sabotage' mkutano huu kufanyika Nchini. Malori ni uwekezaji lakini unahitajika utaratibu mzuri wa kuegesha"


Aidha Mhe. Chalamila ametoa hamasa kwa Watanzania kutumia fursa ya kufanyika kwa mkutano huo ili kujikwamua kiuchumi.


"Mkutano wowote ule wa Kimataifa, lazima uwe na 'impact' ya kiuchumi kwa Watu wanaoishi katika eneo husika. Tumekubaliana kufunga baadhi ya barabara zinazozunguka eneo la ukumbi wa mkutano ili Wafanyabiashara wetu waweze kuonesha biashara ambazo zitakua zinatambulisha Utamaduni, Uzalishaji, Uwezo wa kusafirisha nje ya mipaka na fahari ya Mtanzania. Ofisi ya mkuu wa mkoa imeratibu zoezi hilo lakini nitoe rai kwa wanaotaka kuja kujiunga waje ofisi ya mkuu wa Mkoa ili wapate utaratibu".


RC Chalamila amewakumbusha Watanzania wote kuwa mkutano huu utafanyika Nchini kutokana na juhudi za mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kusimamia Diplomasia Kimataifa pamoja na uwepo wa amani na mshikamano baina ya Serikali na Wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke