• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

SERIKALI INA NZURI KATIKA KILA JAMBO-MHE. MTINIKA

Posted on: October 15th, 2022

Na; Nassoro Rashid

Mkuu wa wilaya ya Temeke, Mstahiki Meya wa Manispaa pamoja na Mkurugenzi, leo Oktoba 15, 2022  wameshiriki katika mkutano wa hadhara uliofanyika ndani ya eneo la Stendi Mpya ya Kijichi mara baada ya ziara ya Ukaguzi wa Barabara itakayotumika kupita mabasi kufika katika stendi hiyo.

Akizungumza wakati wa mkutano huo, Mhe. Mtinika amesema kazi iliyofanyika Kijichi ni kubwa na ana imani kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Stendi hiyo itafanikiwa.

"Serikali ina nia nzuri katika kila jambo, na kila jambo zuri halikosi changamoto, hivyo tuanze kwanza, maana  kwa umoja wetu tumeamua jambo hili liende, basi mimi nina uhakika jambo hili litaenda". Alisema Mhe. Mtinika

Kadhalika  Mhe. Mtinika amesema umoja na mshikamano walionao Viongozi ndio chachu ya kuleta maendeleo katika Manispaa ya Temeke, huku akitanabaisha juhudi mbali mbali zilizofanywa na Viongozi kukamilisha azma ya kuwepo kwa Stendi hiyo.

"Temeke ni yetu wote, Tanzania ni yetu wote, na zilizowekezwa hapa ni pesa za Umma, na eneo hili ni la Serikali. Pamekuwa na mawazo mbalimbali kuhakikisha eneo hili linafanya kazi, tumetumia kila aina ya njia kuhakikisha eneo hili linafanya kazi". Alisema Mhe. Mtinika

Kwa namna yake  Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Ndugu Elihuruma Mabelya amesema katika mambo wanayopimwa Vongozi ni namna wanavyotatua changamoto na kupanga mipango ya maendeleo inayogusa moja kwa moja Wananchi na kuisaidia Serikali.

"Ninaamini siku ya leo ni mwanzo mzuri wa utekelezaji wa kuhamisha Stendi hii, kama wadau walivyosema hapa mbele yenu wanaunga mkono, hivyo Wananchi wa wilaya ya Temeke twende tukaunge mkono jambo hii". Alisema Mkurugenzi Mabelya.

Sambamba na hilo ameahidi kutatua changamoto kadhaa zilizosemwa na Wadau wa Usafirishaji mara baada ya kupita na kuziona kwa pamoja wakati wa ukaguzi wa njia ya mabasi na kusema tayari wameshaanza kuzifanyia kazi,

"Niwahakikishie Wananchi mimi kama mtendaji mkuu wa Manispaa, Manispaa  yenu ina fedha ya kuzitatua changamoto hizo, na katika suala la maendeleo Viongozi huwa hatulali ". Alisema Mkurugenzi Mabelya.

https://www.instagram.com/p/Cjv6JYdNPLw/?igshid=MDJmNzVkMjY=

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke