• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"SERIKALI INAENDESHWA KUPITIA RASILIMALI ZETU WENYEWE2 MD SATURA

Posted on: October 3rd, 2024

Na: Sweetbetter Njige

       TMC Habari.


Leo Oktoba 2, 2024 Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndg. Jomaary Satura kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Sixtus Mapunda amezungumza na madereva wa bodaboda na bajaji (maafisa usafirishaji) wanaounda Shirikisho la vyama vya madereva  bodaboda na bajaji mkoa wa Dar es Salaam (SHIVYAMAPIDA).


Akizungumza katika mkutano huo mkurugenzi Satura ametoa wito kwa maafisa usafirishaji kuhakikisha wanafanya shughuli zao kwa mujibu wa taratibu za manispaa ikiwemo kulipa ushuru wa maegesho ili kuwezesha utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa maendeleo ya manispaa ya Temeke.


"Tukumbuke kipindi tupo mihangaikoni, Serikali pia ipo mihangaikoni kuhakikisha watoto wetu wanapata madarasa ya kusoma, elimu inatolewa bure kuanzia awali hadi kidato cha sita, lakini miundombinu inatekelezwa kwa kodi zetu. Serikali inatusaidia kutoa elimu bure na matibabu bure kwa watoto chini ya miaka mitano ambao naamini baada ya muda watakuja kutusaidia kutekeleza majukumu ambayo hatutayaweza tena kutokana na umri.Tunawaomba mtupe ushirikiano, Serikali inaendeshwa kupitia tozo na rasimilai zetu wenyewe"


Aidha mkurugenzi Satura amewasihi maafisa usafirishaji kuwa mstari wa mbele katika kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.


"Tunaendelea kusisitizwa kushiriki uchaguzi wa kidemokrasia utakaofanyika Novemba 27, 2024. Temeke tutakua na zoezi la uandikishaji kuanzia tarehe 11-20 mwezi Oktoba. Uandikishaji huu ni tofauti na ule wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani, hatuzungumzii kile kitambulisho cha mpiga kura, huu ni uchaguzi wa mamlaka za Serikali za mitaa, tunachagua menyeviti na wajumbe, tunachagua sisi wakazi wa mtaa husika, kajiandikishe pale unapoishi ili upate haki ya kumchagua kiongozi wa mtaa wako ambaye atabaki kuangalia eneo lako lisiuzwe kiholela wakati umeenda mihangaikoni. Nawasihi tupeane taarifa na wote tushiriki zoezi hili muhimu".


Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Temeke Ndg. Daniel Sayi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke