• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"SIASA SAFI NI MSINGI WA MAENDELEO JUMUISHI" DC JOKATE

Posted on: July 14th, 2022

Baada ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufungua milango na  kukutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini, Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo amefuata nyayo kwa kukutana na viongozi wa ACT Wazalendo ofisini kwake leo Julai 14,2022.


Katika mazungumzo yake na Katibu mkuu taifa wa ACT Wazalendo Bw. Ado Shaibu, Mhe. Jokate amesema kuwa siasa sio uadui na siasa Safi ni msingi wa Maendeleo jumuishi pia amefurahishwa na viongozi hao kufika ofisini kwake kujadili masuala mbalimbali  ya maendeleo.


"Niwapongeze kwa kufuatilia shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazofanywa ndani ya wilaya yetu na hii inadhihirisha kuwa siasa sio uadui bali sote lengo letu ni moja tu, kuwahudumia wananchi na kuleta Maendeleo jumuishi bila kumuacha mtu nyuma. Alisema Jokate


Awali Katibu huyo wa ACT alimpongeza mkuu wa wilaya ya temeke kwa kazi nzuri zinazofanywa ndani ya Manispaa hiyo ikiwemo miundombinu ya barabara akitolea mfano barabara katika kata ya Kijichi iliyojengwa kwa mradi wa uboreshaji wa jiji la Dar es salaam(DMDP).


"Kiukweli panapostahili pongezi lazima tupongeze, siasa si kupinga kila kitu na Chama chetu tunaamini sana katika fact (ukweli) ndio maana tumeamua kuja hapa kukupongeza kwa Kazi nzuri unazozifanya kwa ufupi tumeridhika sana na melezo yako mheshimiwa mkuu wa wilaya".Alisema Katibu huyo


Pamoja na mambo mengine Katibu mkuu huyo alishauri ujenzi na ukarabati wa barabara nyingine zilizopo pembezoni upewe kipaumbele ili kuweza kurahisisha usafiri kwa wananchi huku akisisitiza ukamilishwaji wa ujenzi wa barabara ya Nzasa-Kilungule.


Mkuu wa wilaya ya Temeke amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha anakutana na watu wa kada mbalimbali toka alipoingia madarakani mwaka 2021 lengo likiwa ni kudumisha umoja na ushirikiano ili kuleta maendeleo jumuishi katika Wilaya hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke