• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TARURA TEMEKE YAREJESHA MAWASILIANO YALIYOKATIKA BARABARA YA GOROKA TOANGOMA

Posted on: January 28th, 2024

Na: Joanita Joseph - TMC Habari


Wakala wa barabara za vijijini na Mijini (TARURA) leo Januari 28, 2024 wamefanikiwa kurejesha mawasiliano yaliyokatika kutokana na barabara ya goroka toangoma kukatika kufuatia uharibifu uliofanywa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa Nchini.


Barabara hiyo ya kiwango cha changarawe yenye urefu wa kilomita 1.47 inayohudumia wananchi takribani 3500 ikiwemo wakazi wa mtaa wa Masaki na Goroka ilikatika na kushindikana kupitika kabisa kwa sasa imerekebishwa kuwezesha magari kupita na wananchi kuendelea na shughuli zao kama hapo awali.


Akizungumza katika eneo hilo Meneja TARURA wilaya ya Temeke Mhandisi Paul Mhere amesema kuwa wamejipanga kukabiliana na uharibifu utakaojitokeza na kuhakikisha lengo la serikali la kutoa huduma bora kwa wananchi linafikiwa.


"Kazi inayoendelea hapa imefanyika usiku na mchana, bado tunaendelea na tutaendelea kusimamia ubora wa kazi katika uboreshaji wa miundombinu ili kuwezesha wananchi waendelee na shughuli zao za kiuchumi na kijamii, na hili ndilo lengo la serikali" alisema Eng.Mhere


Kwa upande wake Bwana Revocatus, Mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameishukuru serikali kwa kufanyia kazi barabara hiyo kwa haraka kwakuwa ni tegemeo lao kubwa.


"Ndugu zetu TARURA tunawashukuru sana walivyopata taarifa hii walifika haraka sana wamesaidia kunusuru baadhi ya nyumba ambazo zilikuwa zinaenda kuanguka, tungepata maafa makubwa sana hapa. kwakweli tunaishukuru sana serikali" alisema Bw. Revocatus


Serikali ya awamu ya sita kupitia TARURA imejipanga kuboresha miundombinu na kuhakikisha wananchi wanapata barabara bora kwa maendeleo endelevu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke