• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"Temeke Tuko Tayari Kuendeleza Mahusiano" Mstahiki Meya Mtinika.

Posted on: April 20th, 2021

Mstahiki Meya Mh Abdallah Mtinika watatu kushoto akiwa katika picha ya pamoja na wageni kutoka mji Kati Zanzibar.

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke  imetembelewa na wageni kutoka baraza la mji Kati Zanzibar.

Wageni hao ambao wapo katika ziara ya siku 2,   ziara yao imelenga  katika kuimarisha uhusiano baina ya baraza  la mji Kati na manispaa ya Temeke,ni Mwenyekiti wa baraza la mji Kati,Mheshimiwa Said Hassan Shaabani,Afisa TEHAMA bibi Salha Mansour na Mkaguzi wa ndani ndugu Salum Msham, ambapo wamepokelewa jana majira ya saa 11:45 Jioni  na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mheshimiwa Abdalah Mtinika.

Akizungumza wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake majira ya saa 5:00 Asubuhi, kilichowahusisha  wageni hao,Kaimu Mkurugenzi,Afisa Utumishi na baadhi ya maafisa kutoka Kitengo cha Ukaguzi wa ndani na TEHAMa,Mhe. Mtinika amesema kwamba viongozi waliopita walikuwa na uhusiano mzuri na Baraza hilo,wakati huo ikiwa Halmashauri,na wao waliopo sasa watauendeleza uhusiano huo.

" Karibuni sana Temeke,sisi tuko tayari kukuza na kuuendeleza  uhusiano uliokuwepo,hasa katika uwekezaji.Nyie wenzetu mko vizuri katika utalii,mna fursa nyingi za uwekezaji ambazo Temeke tunaweza kuzitumia." Alisisitiza Mhe. Mtinika.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Baraza la mji Kati amesema kwamba ziara hiyo ni muhimu sana kwao, kwani itawawezesha kujifunza mambo mbalimbali yatakayosababisha kulitoa Baraza mahali lilipo, na kulipeleka kuwa Manispaa.

"Waheshimiwa waliopita waliitoa Kati Halmashauri,ikawa Baraza la mji,Sisi tulioingia tunataka tutoke hapa,tuwe Manispaa,ili tuwe Manispaa kuna mambo inabidi tuyafanye,tumekuja ili tuboreshe uhusiano kati yetu,lakini pia kujifunza.Temeke mko mbali sana,sisi bajeti yetu ni Bilioni 1,wakati ninyi ni Bilioni 37,tofauti yetu ni kubwa sana.Ndio maana tumekuja,lengo la ziara hii ni kubadilishana mawazo,uzoefu,na kushirikiana zaidi katika masuala ya kiuchumi,ili na sisi tuwe Manispaa" Alisema Mhe. Shaabani.

Naye kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ambaye pia ni Afisa Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji wa Manispaa ndugu Deogratius Lukomanya, amepongeza ushirikiano uliopo baina ya Temeke na Kati,ambapo amesema kwamba wageni hao watajifunza mambo mengi,kwani Temeke inafanya vizuri katika ukusanyaji mapato,na masuala yote ya TEHAMA na Uhusiano.

Halmashauri ya manispaa ya Temeke ina uhusiano mzuri na baraza la mji Kati.Uhusiano huo ni wa muda mrefu, na wamekuwa wakitembeleana mara kwa mara,kwa lengo la kuimarisha uhusiano wao,pamoja na kujifunza.











 





Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke