• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YAFANYA KONGAMANO KUBWA LA FURSA ZA UWEKEZAJI

Posted on: December 15th, 2023

Na: Joanita Joseph -TMC Habari


Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na wadau mbalimbali leo Desemba 15, 2025 imefanya Kongamano la fursa za uwekezaji mahsusi kwa ajili ya kuwahafamisha wawekezaji, wafanyabiashara na wadau wa maendeleo uwepo wa fursa mbalimbali za kiuwekezaji zilizopo Temeke, kutoa elimu na kujadili mazingira juu ya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuweka maazimio baina ya wawekezaji na Manispaa ya Temeke kwa ujumla.


Akizungumza katika hotuba yake Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Sixtus Mapunda ambaye pia ni mgeni rasmi katika hafla hiyo amesema kuwa Serikali inahitaji nguvu ya uwekezaji ili iweze kukusanya mapato na kutoa huduma bora Kwa wananchi.


Mhe. Mapunda ametoa wito Kwa wawekezaji kutumia fursa za kiuwekezaji zilizopo Temeke na kuwahakikishia ushirikiano pamoja na mazingira bora yanayofaa kwa uwekezaji wa ndani na nje ya Nchi.


"Ujio wa bandari mpya utabadilisha jiji la Dar es salaam, kwahiyo ni fursa wana Temeke tunayo,Wekezeni Temeke. Msiogope Serikali yenu ni Serikali sikivu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda na anawaalika karibuni sana kuwekeza katika Nchi yetu" alisema Mhe. Mapunda


Kwa upande wake Ndg. Elihuruma Mabelya, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke amesema kuwa dhamira ya Manispaa ni kuongeza kasi ya uwekezaji katika sekta zote.


"Manispaa ya Temeke imesheheni fursa nyingi za kiuwekezaji na kiuchumi, tuna maeneo takribani 25 ambayo yanaweza kuchukuliwa kwa ajili ya uwekezaji kulingana na malengo ya Manispaa, sisi kama Manispaa tumejipanga vema, tupo tayari kushirikiana katika kuimarisha kipato cha wawekezaji, uchumi wa halmashauri na Nchi yetu kwa ujumla." Alisema Ndg. Mabelya


Kongamano Hilo limefanyika katika ukumbi wa DYCC Chang'ombe likiambatana na uzinduzi wa dawati la uwekezaji kwa ajili ya kuratibu shughuli za uwekezaji. Limehudhuriwa na taasisi mbalimbali ikiwemo TIC, TRA, TCCIA, NSSF,TPDC, TPSF, DCB Bank na kadhalika.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke