• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YAINGIAMTANDAO WA C40.

Posted on: February 3rd, 2022


Halmashauri ya manispaa ya Temeke siku ya Februari 02,2022 imeingia makubaliano ya kuingia katika mtandao wa C40 kupitia kundi la wasiokuwa wanachama wa C40 ('non CITIES C40 member') mara baada ya kutembelewa na uongozi wa C40 katika ofisi za halmashauri hiyo zilizopo wilaya ya Temeke.

Ameyasema hayo Mstahiki Meya wa halmashauri hiyo Mheshimiwa Abdallah Mtinika alipopokea ugeni huo kutoka katika Shirika la mtandao wa mameya inayoongoza takribani Miji 100 duniani inayoshirikiana kutoa hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabia za nchi na changamoto mbalimbali lijulikanalo kama C40 CITIES.

Aidha Mhe. Mtinika amesema ugeni huo ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa C40 CITIES Afrika Ndugu Hastings Chikoko kutoka Afrika ya Kusini pamoja na Afisa programu wake kuwa umeitembelea halmashauri ya Temeke kutokana na kuvutiwa na programu zake zinazofanywa huku wakitarajia kujenga mahusiano mazuri yenye malengo ya kujengeana uwezo wa kitaalam, mafunzo pamoja na kubadilishana uzoefu.

"Ujio wa shirika hili utaendelea kuisaidia Halmshauri ya Manispaa ya Temeke kwani itafungua zaidi milango ya kujulikana dunia nzima huku ikiwa na malengo ya kushirikiana na miji mengine kote Afrika na duniani kuona namna gani wanaweza kupambana katika mabadiliko ya tabia ya nchi ili dunia kuendelea kuwa sehemu salama ya kuishi". Alisema Mhe. Mtinika

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Afrika C40 CITIES Ndugu Hastings Chikoko amesema ujio huu una malengo ya kutekeleza programu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kushikiriana na miji mengine duniani kuweza kupata suluhu, kukuza uwezo, kujifunza kutoka kwa kila mmoja juu ya sababu zinapelekea Mabadiliko hayo na athari zake duniani ili kuweza kukabiliana nazo.

Sambamba na hilo Ndugu Chikoko ameongezea kusema kuwa wameichagua Temeke katika Jiji la Dar es salaam kwakuwa wanatarajia kuandaa mpango wa utekelezaji wa hali ya hewa utaopelekea Manispaa zote kushiriki kutekeleza mpango huo ambapo Temeke ni Manispaa lengwa lakini pia kutokana na Mstahiki Meya wa Temeke amekuwa akitekeleza programu mbalimbali za C40 kwa mda mrefu ambapo uzoefu wake utasaidia kukamilisha programu za shirika hilo.

Kwa namna yake Ndugu Chikoko ameeleze kuwa Shirika la C40 linashuhulika na mambo mbali mbali ikiwemo masuala ya mafuriko, ukame, ulinzi wa vyanzo vya Maji, Nishati, Usafirishaji, na kutafuta namna za kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kukwamisha maendeleo katika Miji mingi duniani.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke