• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Temeke Yajitosa Kumsaidia Mwanafunzi Aliyeshindwa Kwenda Shule kwa Kukosa Fedha

Posted on: August 22nd, 2019

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Ndg. Lusubilo Mwakabibi akimpa maelekezo dada wa mwanafunzi Sara Rodgers Bi Rebeka Rodgers( Aliyesimama na Mkurugenzi) kabla kukabidhi fedha zilizochangwa kwa ajili ya kumuwezesha Sara kwenda shule.Aliyekaa mbembeni ya Rebeka ndiye Sara Rodgers.



................HABARI KAMILI ................


Mkurugenzi pamoja na wakuu wa idara na vitengo wa manispaa ya Temeke wamejitolea kuchanga fedha kiasi cha shilingi 1,720,000 kwa ajili ya mwanafunzi Sara Rodgers ambaye ameshindwa kwenda shule kwa kukosa fedha.Fedha hizo zimechangwa  leo , majira ya mchana ofisini kwa mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke .


Akizungumza wakati akikabidhi fedha hizo mkurugenzi  wa manispaa ya Temeke  ndugu Lusubilo Mwakabibi amesema “Tumeitwa duniani kubadilisha maisha ya watu,haina maana kama sisi tuna maisha mazuri ,huku kuna watu wengine wanateseka,na uwezo wa kuwasaidia tunao.Kama huyu binti amefaulu vizuri,lakini ameshindwa kwenda shule kwa sababu ya kukosa fedha.Ni lazima tufanye kitu,tuguse maisha ya watu”.


Aidha Mkurugenzi Mwakabibi amesimamia utararatibu mzima wa mgawanyo wa fedha hizo kulingana na mahitaji ambapo amemkabidhi Sara kiashi cha shilingi 400,000 kwa ajili ya kununua mahitaji ya shule, amekabidhi kiasi cha shilingi 188,000 kwa Afisa ustawi wa jamii wa manispaa ya Temeke kwa ajili ya kumlipia Sara  ada na michango mingine ya shule kama ilivyoainishwa katika fomu ya kujiunga na shule,Amekabidhi kiasi cha 110,000 kwa dada wa Sara ambaye anaitwa Rebeka Rodgers kwa  ajili ya nauli na matumizi ya Sara atakapokuwa shule.


Katika fedha hizo pia, Mkurugenzi amemkabidhi Rebeka Rodgers kiasi cha shilingi 300,000 kwa ajili ya kukuza mtaji wa biashara yake.Na shilingi 722,000/= zilizosalia amemkabidhi Afisa wa benki ya CRDB  tawi la Temeke kwa ajili ya kumfungulia Sara akaunti.

Katika hatua nyingine Mwakabibi ameahidi kuwasaidia walezi wa Sara ambao ni Rebeka na mumewe  kwa kuwapa  mtaji wa biashara ili waweze kuendeleza maisha yao, na kuondokana na hali ngumu ya maisha inayowakabili sasa.

Sh

Sambamba na kuwapa mtaji ,amewataka kutafuta nyumba ya vyumba viwili ambavyo yeye pamoja na timu yake ya menejimenti watawalipia kodi ya mwaka mmoja,ili Sara atakapokuwa akirudi likizo awe na chumba chake cha kulala,tofauti na ilivyosasa ambapo analazimika kulala kwa jirani kutokana na dada yake  Rebeka kuishi kwenye chumba kimoja.


Mkurugenzi ameendelea kutekeleza kwa vitendo dhima ya manispaa ya Temeke ambayo ni kuinua maisha ya wakazi wake kwa kuwapa misaada mbalimbali ya kielimu,kiuchumi na kijamii.



............MWISHO.............


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke