• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Temeke yapata Katibu Tawala mpya.

Posted on: August 13th, 2018

Aliyekuwa Katibu Tawala ndugu Hashim Komba akabidhi madaraka yake kwa Katibu Tawala mpya  Bupe Mwakibete,Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi wa  Idd Nyundo ndani ya Manispaa ya Temeke.

''Natoa shukrani zangu za dhati kwako Mh. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva kwakuwa kwangu ulikuwa mwalimu wa kazi, kunakipindi ilibidi ulibadili ofisi yako kuwa darasa ili mimi nipate kuelewa misingi ya kazi  nadhani Serikali pia imeona elimu uliyonipatia ikawe chachu na manufaa katika manispaa ya Iringa'' alisema ndugu Komba

Alisema anajivunia kuwa temeke kwa miaka michache aliyohudu kwa nafasi ya Katibu Tawala kwakuwa amejifunza mengi ambayo yanamfanya kuaminika katika kazi hatimae kupata uteuzi tena ili kuhamisha ujuzi na weledi alioupata ili uwanufaishe wananchi wa Manispaa ya Iringa.

Katika salamu za Kumuaga aliyekuwa Katibu Tawala na kumkaribisha Bi Bupe Mwakibete(Katibu Tawala mpya) Mstahiki Meya alimkaribisha katika Manispaa ya Temeke  na kumtaka kushirikiana ili kuhakikisha Manispaa inafika mbali zaidi kimaendeleo

''tuna madiwani wazuri wanaojua kusimamia kazi pia kuna watendaji wazuri na wakuu wa idara wazuri ambao kwapamoja tukishikamana hakika Temeke yetu itafika mbali zaidi'' alisisitiza Mstahiki Meya

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ndugu Nasib Mmbaga alisema anajivunia Hashimu kwakuwa alikuwa anamaono katika kazI, kuna wakati nashindwa kumtofautisha na wakuu wa idara kutokana na utendaji wake wa kazi na zaidi sana ukaribu baina yake na Manispaa ulikuwa wa hali ya juu alisisitiza Mmbaga.

B.i Bupe akitoa shukrani kwa kukaribishwa kikazi ndani ya Temeke aliomba ushirikiano zaidi kwakuwa kufanya kazi kwa pamoja kunasaidia uharakishwaji wa maendeleo katika jumuiya yoyote na kuahidi  kuitunza na kuitetea ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kumuunga mkono Mh. Rais Magufuli.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Madiwani, Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama ,Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Watendaji ambao waliahidi kumpa ushirikiano katika kazi ili kuhakikisha malengo yanafikika kwa urahisi kwa kuweka vipaombele katika kazi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke