• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE YATOA BILIONI 1.8 KUWAKOPESHA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU

Posted on: June 29th, 2022

Mstahiki meya wa manispaa ya Temeke mheshimiwa Abdallah Mtinika amesema kuwa Manispaa hiyo hapo awali ilikuwa ikitoa mikopo lakini Wananchi wengi hawakuwa wanapata taarifa hali iliyochangia malalamiko kwa baadhi yao.

Mstahiki Meya Mtinika ameyasema hayo alipokuwa akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.8 kwa ajili ya mikopo kwa vikundi 167 vya Wanawake, Vijana na watu wenye  Ulemavu,iliyofanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Kibasila Juni 28,2022.

’’Niseme tu kwa kifupi mheshimiwa mkuu wa Mkoa,linalotendeka hapa leo ni wazo lako.Temeke  tumekuwa tukitoa mikopo ya asilimia 10 lakini tumekuwa tukitoa kimyakimya, nikushukuru, wewe ni  mkuu wa Mkoa lakini pia umekuwa ni Mwalimu,niwaombe ndugu zangu hii mikopo tukiipata tusiache kulipa’’.Aliongeza Mhe.Mtinika.

Akisoma taarifa ya utoaji mikopo kwa mkuu wa Mkoa,mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu  Elihuruma Mabelya alisema kuwa Manispaa imekuwa ikitekeleza sheria ya fedha ya serikali za Mitaa ya

mwaka 2019 inayoitaka kila Halmashauri kutenga asilimia 10 ya mapato yake ya 

ndani kukopesha Vijana,Wanawake na watu wenye  Ulemavu ili kuboresha maisha yao.

Kutolewa kwa mikopo hiyo hadharani ni ushauri uliotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  Mhe. Amos Makalla ambapo alipendekeza mikopo itolewe kwa uwazi ili kuondoa dhana

iliyojengeka miongoni mwa jamii kuwa mikopo hiyo hutolewa kwa baadhi ya watu sambamba na kuondoa mianya ya rushwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke