• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Temeke yavuna Sato zaidi ya kilo 117

Posted on: May 1st, 2020

MANISPAA YA TEMEKE YAVUNA SAMAKI AINA YA SATO ZAIDI YA KILO 117

Katika kuhakikisha ule msemo unaosemwa "Mfundishe mtu kuvua samaki, usimpe samaki" msemo huo umekua ukitekelezwa kwa vitendo katika Manispaa ya Temeke chini ya Mkurugenzi Ndg Lusubilo Mwakabibi hususani katika nyanja ya ufugaji samaki mjini.

Manispaa ya Temeke jana imevuna samaki wapatao kilo zaidi ya 117 aina ya sato katika bwawa ambalo limechimbwa ndani ya viunga vinavyoizunguka Manispaa hiyo.

Ufugaji huo wa samaki umelenga hasa kutoa elimu ya ufugaji samaki mjini (shamba darasa) kwa Jamii ya Temeke, Watumishi na Watanzania kwa ujumla wao, ili kuwawezesha  kuinua kipato na hata katika matumizi ya nyumbani.

Akifanunua ufugaji wa Samaki hao aina ya Sato, Mkuu wa Idara ya Mifungo na Uvuvi Manispaa ya Temeke Bi Delfina Wambura alisema samaki hao walipandwa mwaka jana tarehe 25/10/2019 hadi siku ya jana tarehe 30/04/2020 tayari wameshafikisha miezi sita, kitaalam samaki hukaa kwa muda wa miezi sita ndipo unatakiwa kuwavuna.

Aidha samaki waliopandwa katika bwawa hilo walikuwa ni madume na sababu ya kuweka madume ni rahisi kuwamudu kwa upande wa chakula, pia wanakua haraka zaidi kuliko majike.

Mwisho: Ufugaji wa samaki umekuwa ni moja ya njia ambayo inaweza kukuza kipato cha mwananchi, Manispaa ya Temeke imekuwa mstari wa mbele kufikiria namna ya kuleta ustawi kwa wananchi, kwa kuzingatia hilo, ewe kijana, ewe unayetarajia kustaafu, na wengine wa sehemu yoyote karibu Manispaa ya Temeke ujifunze ufugaji wa samaki wa kisasa ambo hutumia eneo dogo mazao lukuki.

Katika picha ni mwonekano wa vijana wakiwa wameshika nyavu yenye samaki aina ya sato waliovuliwa katika bwawa la shamba Darasa Manispaa ya Temeke.


#Temeke ya Viwango, Tumedhamiria kuleta ustawi kwa wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke