• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Temeke yazindua kamati ya Maafa

Posted on: July 24th, 2018


Mapema leo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imezindua kamati maalumu ya maafa kwa ngazi ya Halmashauri.

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na timu ya manejimenti ya Temeke,wageni kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wadau mbalimbali wa majanga na maafa yanayotokea Temeke.

Kamati hiyo iliyoundwa na sekta binafsi,watu mbalimbali,taasisi na asasi za kiserikali na taasisi za dini,ambapo mwenyekiti wake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya temeke Ndg:Nassib Mmbagga.

Uundwaji wa kamati hiyo mpya imetokana na mabadiliko ya sheria mpya ya maafa namba 7 ya mwaka 2015 ambayo inataka ushirikishwaji wa kila taasisi muhimu katika jamii.

''Maafa yanapotokea yanahusisha kila mtu kwa nafasi yake katika jamii,hivyo sheria hii mpya inatoa uhuru wa ushirikishwaji wa taasisi muhimu.''

Hayo yalisemwa leo na mratibu wa huduma za dharula Mkoa wa Dar es Salaam Dk:Christopher Mnzava alipokua akitoa somo la manejimenti ya dharura na maafa katika ngazi zote.

Aliendelea Dk:Mnzava aliwapitisha timu ya manejimenti ya Manispaa ya Temeke katika maeneo muhimu ya sheria na 9 ya mwaka 1990 ambayo ilitumika zamani kabla ya madiliko kuwa iliku na changamoto zake ambazo kwa kiasi kikubwa zimetatuliwa katika sheria mpya ya namba 7 ya mwaka 2015.

Aliongeza kuwa sheria hii mpya ina mzingo wa manejimenti ya maafa katika utendaji kazi wake ambao ni kuzuia,kujiandaa,kukabiliana na kurudishia.

kabla ya uzinduzi huo Katibu Tawala Mkoa msaidizi Bib:Yokobety Nathaniel Malisa (ambae alizindua) alimpongeza Mkurugenzi wa Temeke pamoja na mratibu wake wa maafa Bib: Sweetbertha K. Paschal  kwa juhudi zao za haraka katika utekelezaji wa  kuunda kamati hii ya maafa kwa ngazi ya Halmashauri.

Pia aliwakumbusha kamati kufanya kazi yao ya kuilinda jamii kwa kuzuia hatua zozote zenye muonekano wa kuleta maafa katika jamii, mfano ujenzi holela.

''msikubali maeneo yajengwe hovyo au kiholela,wale wanaotoa ushauri katika ujenzi washauri  ujenzi unaostahili''. alisema Bib:Malisa.

Halmashauri ya Temeke imevunja rekodi ya kuwa Halmsahuri ya kwanza kuzindua kamati ya maafa,hii ni kutokana na juhudi za uongozi bora na uwajibikaji wenye kulenga mahitaji muhimu ya wananchi.  

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke