• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TPA YAKABIDHI VITANDA 15 KWA AJILI YA KINAMAMA TEMEKE HOSPITALI

Posted on: June 1st, 2023

Na: Sweetbetter Njige

Leo Juni 01,2023 kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya bandari Dar es salaam ndugu Mrisho Mrisho amekabidhi jumla ya vitanda 15 vyenye thamani ya shilingi 25,000,000/= kwa mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Mwanahamisi Munkunda  ambavyo vitatumika katika wodi za kinamama.


Akizungumza baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika katika viwanja vya hospitali ya Temeke na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, mhe. Manahamisi Munkunda alisema vitanda hivyo ni faraja kwa wanawake watakaofika kujifungua hospitalini hapo.


"Tumefarijika kupokea vitanda hivi, kwa siku wanawake wanaojifungua hapa kwa rufaa ni 20 mpaka 30, uwepo wa vitanda hivi utawezesha wote kupata huduma kwa wakati mmoja bila kusubiriana na hii inakweda kuthibitisha dhana ya uboreshaji na utoaji huduma mzuri kwa wagonjwa"


Akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa  bandari kaimu mkurugenzi Ndg. Mrisho alisema ni furaha kwa mamlaka hiyo kurudisha kwa jamii hasa katika sekta ya afya kwa kutoa vitanda bora kwa ajili ya kuwezesha zoezi zima la kujifungua kwa kina mama.


Kwa upande wake mganga mkuu wa hospitali hiyo daktari Joseph Kimaro alisema


"Tunawashukuru Bandari kwa msaada huu wa vitanda 15 unaokwenda kupunguza changamoto ya vitanda pale wodi ya kujifungua, hii inaakisi ile dhana ya Mhe. Rais ya "Pamoja Tuwavushe Salama" na baada ya kupatikana kwa vitanda tunaamini tutaongeza uhitaji wa huduma"


Mamlaka ya usimamizi wa bandari inaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali na siziso za Kiserikali katika kuhudumia Wananchi wa wilaya ya Temeke kwa kurudisha kwa jamii sehemu ya faidha inayopatikana.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke