• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Tuige mfano wa Chaurembo

Posted on: October 8th, 2018

Wito huu umetolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Wilaya ya Temeke Ndugu: AL Mish Hazal na kutaka Madiwani wote wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Temeke Kuiga mfano wa Mh: Chaurembo, ambaye ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke na Diwani ya kata ya Charambe, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kutoa Semina elekezi kwa mabalozi wa mashina alisema ''semina hizi ziende kwenye kata zote za Wilaya ya Temeke''.

Akitoa salamu za utangulizi, Ndugu AL Mish, alimpongeza Mh: Chaurembo leo October 07, 2018 katika semina ya mabalozi wa mashina 63 kata ya Charambe katika Ukumbi wa Iramba na kusisitiza kuwa Mstahiki anafaa kuigwa kwa kazi nzuri anazofanya.

"Ninafahamu ya kwamba Charambe ni ngome ya CCM, Mh: Chaurembo ambaye ni Diwani wenu anafanya kazi kubwa sana, Ninafuraha sana kuona na kusikia hali ya siasa katika eneo la Charambe ipo imara. Kazi kubwa imefanyika kukiimarisha Chama.Hongera sana Mh: Chaurembo."

Akigusia mchango na umuhimu wa mabalozi wa mashina katika kukiimarisha Chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu AL Mish alisema "Mimi nimekuwa nikiguswa sana na mabalozi wa mashina, mabalozi ni chachu ya ustawi wa chama, nitaendelea kuwaunga mkono na kushirikiana nao katika kukiimarisha chama"alisisitiza.

Ndugu AL Mish aliwasihi mabalozi hao wa mashina wanapofanya vikao vyao vya dharura wampatie mwaliko ili aweze kuona jinsi gani wanavyoendesha vikao.

Vile vile aliwataka waweze kutafakari maelekezo wanayopewa na viongozi wao, Pia wawe na mikakati mizuri ya kuhakikisha Chama cha Mapinduzi CCM kinaibuka na ushindi katika chaguzi za Serikalk za mitaa 2019.

AL Mish aliwataka mabalozi hao wa mashina wawe makini na Wanachama mamluki wanaokuja kujiandikisha na kujifanya ni wana CCM.

Mwisho ndugu AL Mish Hazal aliwataka mabalozi wa mashina wawe na mfuko wa fedha pia wawe na sera ya uwekezaji.
alitoa wito kwa wanachama wa CCM kujichangisha fedha na kuweka kwenye mfuko wa fedha ili chama kiweze kujitegemea katika chaguzi mbalimbali.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke