• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

"TUKIUNGANISHA NGUVU YA PAMOJA, DAR YENYE MAFANIKIO INAWEZEKANA" RC MAKALA.

Posted on: June 15th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makala amesema hayo wakati wa kikao kazi alichokifanya kati yake na waheshimiwa madiwani, wakuu wa Idara na vitengo, na watendaji wa Kata katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa Temeke, Dar es Salaam.

Akiongea katika kikao hicho Mhe Mkuu wa Mkoa amebainisha matarajio ya mkoa huo huku akiweka wazi vitendea kazi vya kufikia matarajio hayo ya mkoa ni "Ilani ya CCM" .

Mhe Amos Makala ameutaka uongozi wa Wilaya ya Temeke kuhakikisha yafuatayo yanapewa kipaumbele:

Kwanza kabisa suala la Usalama liwe ni ajenda ya kudumu, jambo hilo la usalama lianzie ngazi ya mtaa kwa sababu uhalifu wa aina yoyote unaanzia huko.

Vilevile hali ya Usafi, Mhe Mkuu wa Mkoa amesema haridhishwi na hali ya usafi katika Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam.

"Nimeandaa mpango mkakati wa kuweka mkoa wa Dar es Salaam safi na nitauleta kwenu ujadiliwe na waheshimiwa madiwani tuwe na uelewa wa pamoja" Alisema Mhe Makala.

Amesisitiza wakandarasi wa usafi wapewe wale wenye uwezo, kazi hiyo isitolewe kindugu, kama ni mkandarasi basi awe na uwezo na vifaa vya kutosha vya kufanyia usafi katika eneo husika.

Sambamba na hilo pia suala la miradi ya maendeleo, Mkuu wa Mkoa amewataka waheshimiwa madiwani kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao.

Kwa upande  wa mapato Mkuu wa Mkoa ameitaka Manispaa kuendelea na historia nzuri ya ukusanyaji wa mapato ili kuweza kutekeleza kwa ufasaha miradi ya maendeleo.

Aidha Mkuu wa Wilaya Mhe Godwin Gondwe amemuhakikishia Mkuu wa Mkoa mambo yote aliyoelekeza yatatekelezwa kwa nguvu zote ili kufikia matarajio ya Mkoa.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe Abdallah  amempongeza Mkuu wa mkoa kwa kuja na mikakati mizuri yenye tija na kuleta ustawi kwa jamii, ameahidi yeye pamoja na waheshimiwa madiwani kuwa pega kwa bega ili kufikia matarajio yaliyobainishwa na Mkuu Mkoa kwa maendeleo ya Temeke na Dar es Salaam kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke