• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

''TULINDE MASLAHI YA WANANCHI'' WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Posted on: August 18th, 2021


Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kassim ameambatana na waziri wa TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla,mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo na mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ndg. Elihuruma Mabelya katika ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika wilaya ya Temeke.

Katika ziara hiyo Mhe. Majaliwa amewasisitiza watendaji kuhakikisha miradi ya maendeleo inafanyika kwa usahihi kulingana na thamani ya fedha ya serikali inayotokana na kodi za wananchi ili kuhakikisha maendeleo yanapatikana katika kiwango bora.

"Nitacheza na mtu yoyote anayefanya mchezo,kuweni makini na hawa washauri wenu, ni lazima tuwe makini, sisi tupo kwa niaba ya wananchi lazima tulinde maslahi ya wananchi, lazima tuhakikishe huduma hizi zinawafikia wananchi kwa gharama halisi, sio kwa kutengeneza gharama" alisema Waziri Mkuu.

Katika ziara hiyo Mhe. Majaliwa amewaelekeza watendaji kuwa barabara zote mpya zitakazojengwa ziwekwe taa ili kuongeza usalama kwa wananchi.

"Na tunataka barabara za lami tunazojenga ziwekwe taa, hatuwezi kujenga barabara tukaacha giza tunauwezo wa kusambaza taa barabara zetu zote".

Aidha Mhe. Majaliwa amewataka watendaji kuzingatia mahitaji ya wananchi kabla ya kufanya maamuzi ya kufanya miradi.

"Leteni miradi inayonufaisha wananchi,na sio kundi fulani, mipango inayotokana na mahitaji ya eneo, haina maana kujenga majumba badala ya kujenga kituo cha mabasi,haina maana" Alisema Waziri Mkuu.

Katika hatua nyingine Mhe. Majaliwa amewashukuru wananchi wa Dar es Salaam, waandishi wa Habari kwa kazi nzuri ya kuhabarisha wananchi wa Tanzania.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke