• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

''TUMEJIRIDHISHA, MRADI TUMEIONA'' KAMATI YA SIASA

Posted on: August 12th, 2021


Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Urban Mwegelo leo Agosti 11,2021 ameambatana na Wajumbe wa kamati ya Siasa wilaya ,Meya na viongozi wengine wa Serikali kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo, ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 .

Kamati hiyo iliyoongozwa na katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Temeke ndugu Ally Mussa Kamtande imekagua miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,maabara, ofisi ya kata ya Buza, miradi ya barabara na miradi inayotokana na mikopo ya 10% ya mapato ya ndani ya Manispaa .

Ziara hiyo ya siku 2, inafanyika ili kujiridhisha kama serikali inatekeleza ilani ya Uchaguzi kuleta maendeleo kwa Wananchi.

"Kwa mujibu wa Chama Cha Mapinduzi,katika kusimamia utekelezaji wa Ilani, wakati wa usimamiaji wa Ilani huwa hatubaki maofisini, bali tunapita maeneo husika kwa ajili ya kukagua na kujiridhisha je miradi ipo na imetekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa? Lakini hapa tumejiridhisha,miradi tumeiona"

Akizungumzia faida za miradi hiyo kwa maendeleo ya Wananchi ndugu Kamtande amesema
"Kwa mfano mradi wa hii shule ya Mbande-Kisewe kwa namna moja ama nyingine unaenda kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani, lakini pia unatoa fursa hata Wanafunzi wengine kuhamia"

Katika hatua nyingine mkuu wa Wilaya ameishukuru kamati hiyo kwa kufanya ziara hiyo, na kuahidi kuwa maoni,ushauri na changamoto ndogo ndogo zilizobainika zitafanyiwa kazi ili kuhakikisha maendeleo yanafanyika kwa wakati na kwa usahihi.

Moja wapo ya miradi inayotokana na mikopo ya 10% iliyokaguliwa na kamati hiyo, ni kikundi cha vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa samani (Mwela Group),ambapo wajumbe wa kamati hiyo wamewaahidi vijana hao kuwa CCM itasaidia kuwaendeleza kielimu kwa kuwafadhili kusoma masomo ya ufundi stadi ili kuwawezesha kufanya kazi kwa ufasaha na kuendana na soko la ushindani.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke