• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TUNASHUKA KUJA KUFANYA KAZI HUKU ILI MSHUHUDIE KUWA TUNATEKELEZA-MEYA MTINIKA

Posted on: April 11th, 2025

Na: Sweetbetter Njige, TMC Habari


Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Mhe.Abdallah Mtinika ameongoza Hafla ya Utiaji Saini Mikataba miwili ya Ujenzi wa Shule Mpya kwa Mfumo wa ghorofa Chamazi-Mwembebamia na Ujenzi wa Bweni la Wavulana Shule ya sekondari Kibasila.


Akizungumza katika halfa hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo Diwani wa Kata ya Chamazi Mhe. John Gama, Mstahiki Meya amesema


“Lengo la kushuka huku ni ili muone kuwa tunatekeleza Sera na kila tunachozungumza, tumekuja na Mkandarasi kabisa ili aone hali halisi, uharaka na uhitaji wa Wananchi na vijana wetu wanaopata shida kwenda mbali na hapa.


“Nitoe pongezi kwa Mkurugenzi wa Manispaa, anafanya kazi kubwa kwa spidi yetu, lakini pia nimpe maelekezo sisi tuna mpango wa kuanza ujenzi haraka na kumaliza haraka ili watoto wetu waingie madarasani”


Akitoa salamu kwa Wananchi Diwani wa kata ya Chamazi Mhe. John Gama amemtaka Mkandarasi na Msimamizi wa Mradi kuhakikisha ajira zisizohitaji ujuzi mkubwa zinabaki kwa wakazi wa eneo husika.


“Tunajua mkandarasi utakuja na wataalam wako kutoka huko lakini hapa tunao vijana wanaosubiri kupata fursa ya ajira kupitia mradi huu, kwa kufuata mchakato sahihi tukuombe vibarua visivyohitaji ujuzi vichukuliwe na vijana wa hapa Mwembebamia pamoja na shughuli za mama lishe na hata walinzi kwakua wanalifahamu zaidi eneo hili”. Alisema Mhe. Gama


Mikataba hiyo iliyosainiwa Aprili 10,2025 inajumuisha ujenzi wa shule mpya ya ghorofa katika eneo la Mwembebamia itakayogharimu shilingi bilioni 1,748,026,090.00 na ujenzi wa bweni la wavulana (ghoÙrofa mbili) katika shule ya sekondari Kibasila kwa thamani ya shilingi bilioni 1,057,210,852.00 miradi yote ikitekekezwa na kampuni za wazawa.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke