• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Uzinduzi wa Toyota Landcruiser .

Posted on: April 3rd, 2020

MANISPAA YA TEMEKE YAZINDUA GARI JIPYA TOYOTA LANDCRUISER

Halmashuri ya Manispaa ya Temeke leo imezindua gari jipya aina ya Toyota Landcruiser SM 13133, uzinduzi ambao umefanyika katika ofisi za Halmashuri ya Manispaa ya Temeke Makao makuu Jijini Dar es Salaam.

Uzinduzi wa gari hilo ulifanywa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Chaurembo pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa Ndg Lusubilo Mwakabibi mbele ya watumishi wa Halmashauri wakiwemo wakuu wa Idara na vitengo.

Akiongea wakati wa uzinduzi huo Mhe Abdallah Chaurembo amesema gari hilo aina ya Land cruiser limenunuliwa kwa fedha za ndani kupitia bajeti zinazopangwa na Manispaa, "ndugu zangu watumishi lazima mjue ukiweka bajeti ya kununua kitu fulani na ikatokea ujatekeleza hiyo tayari ni hoja ya kiukaguzi". nimpongeze mkurugenzi wa Manispaa kwa kuhakikisha anatekeleza kile ambacho aliweka katika bajeti.

Pia gali hilo likatumike katika matumizi sahihi kwa maana ya usimamiaji na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri yetu, vilevile madereva hakikisheni mnayatunza magari haya ili kupunguza gharama za mara kwa mara za matengenezo yasiyo ya lazima.

Aidha Mkurugenzi wa Manispaa Ndg  Lusubilo Mwakabibi amesema yeye akiwa Mtendaji mkuu katika Manispaa ataendelea kuhakikisha ananunua vitendea kazi wezeshi ili kurahisisha utendaji kazi katika kila Idara na vitengo il kuwezesha ufanyaji kazi kwa kasi,viwango na weledi. Gari lililonunuliwa litakabidhiwa katika Idara ya Mipango lakini mtumishi yeyote akiwa anatekeleza majukumu ya Serikali ruksa kutumia.


Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke  Ndg Lusubilo Mwakabibi mwenye suti akitoa ufafanuzi wakati wa uzinduzi huo .

"Nitaendelea kufanya hivyo katika kila idara na vitengo kwa kadri mpango wa bajeti utakavyowekwa, niwaambie tu hata ndugu zangu walinzi wa Halmashauri tayari gari yao iko katika mchakato wa kununua ili nao wafanye kazi zao vizuri" alisema Mwakabibi.

Aidha Mkuu wa Idara ya  mipango  wa Manispaa Ndg Deogratius Lukomanya ameshukuru kwa kukabidhiwa gari hilo kwa kuwa idara yake haikuwa  na gari hivyo utendaji kazi ulikuwa ni mgumu sana lakini kwa sasa utendaji wa kazi utaenda vizuri namshukuru sana Mkurugenzi wa Manispaa.

Katika picha ni mwonekano wa gari jipya SM 13133 aina ya Toyota Landcruiser.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke