• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

VYUMBA 10 VYA MADARASA KUKARABATIWA NA OFISI MOJA KUJENGWA SHULE YA MSINGI KILAMBA

Posted on: March 10th, 2021

Vyumba kumi (10) vya madarasa kukarabatiwa na ofisi moja (1) mpya ya walimu kujengwa katika shule ya msingi Kilamba iliyoko Kata ya Charambe Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam.

Hayo yamejiri jioni ya jana wakati Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Godwin Gondwe akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Manispaa Ndg Lusubilo Mwakabibi pamoja na wataalam wengine kutoka Idara ya Elimu Msingi walipozuru katika shule hiyo.

Akiwa katika shule hiyo Mkuu wa Wilaya amesema ziara hiyo ni muendelezo wa ziara za mara kwa mara zenye lengo la kutembelea, kukagua na kuona namna ya kuboresha miundo mbinu ya Elimu katika shule za msingi na Sekondari ndani ya Wilaya ya Temeke.

“Kwa shule hii ya Kilamba kuanzia wiki ijayo vyumba vya madarasa 10 vitakarabatiwa na ujenzi wa ofisi moja ya walimu ili vijana waweze kuwa na mazingira mazuri tumeshajenga madarasa 54 katika maeneo mengine na tunaongezea mengine 60 jumla yatakuwa 114 kwa kutumia fedha za ndani” Alisema Mhe Gondwe.

Sambamba na hilo amewataka walimu kuendelea kufundisha kwa bidii pia wanafunzi wasome kwa bidii na vijana wakike wajitambue wasikubali kurubuniwa na mtu yeyote siku zote elimu kwao iwe kipaumbele namba moja.

Katika suala la michezo amewataka wanafunzi kuzingatia, wawe katika makundi ya michezo mbalimbali ili kuweza kuibua vipaji vya michezo ambavyo baadae vitawapatia ajira lakini pia elimu ya kujitegemea “EK” ukiachana elimu wanayofundishwa darasani.

Kwa upande wa mkurugenzi wa Manispaa amesema Manispaa imejipanga kuhakikisha inaboresha miundombinu ya shule za msingi na Sekondari katika Manispaa ya Temeke. 

“Ndio maana kupitia ziara ya leo shule hii sasa ya Kilamba itakarabatiwa  vyumba vya madarasa 10 na ofisi moja ya walimu itajengwa , tayari nimesha muagiza muhandisi wa Manispaa kuanza kazi hapa mapema wiki ijayo” Alisema Mwakabibi

Vilevile Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Kilamba Mwl Leah R. Masaba amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa namna anavyoboresha miundo mbinu ya elimu, pia amemshukuru Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Manispaa kwa kuhaidi kukarabati madarasa 10 na kijenga ofisi moja ya walimu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke