• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WAMACHINGA MBAGALA KUPANGIWA MITAA MAALUM YA KUFANYIA BIASHARA

Posted on: September 21st, 2023

Na:Shalua Mpanda- TMC Habari


Uongozi wa wilaya ya Temeke umepanga mitaa maalumu ya kufanyia biashara kwa wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) wanaofanya shughuli zao maeneo yasiyo rasmi hasa katika eneo la Mbagala Rangitatu.


Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Mobhare Matinyi alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara hao Septemba 21,2023.


Mhe.Matinyi amesema nia ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu ni kuona Wananchi wanaongeza kipato kwa kujishughulisha na biashara lakini pia usalama wao kulindwa kwa kufanya shughuli zao maeneo ambayo sio hatarishi.


Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kutengeneza barabara za mitaa kwenye Wilaya hii kwa lami na zege ambayo uongozi wa wilaya kwa kushirikiana na viongozi wa wafanyabiashara hao wanaweka utaratibu wa kuwahamishia huko.


"Pamoja na uhalali wa kufanya biashara,lakini si uungwana wala si haki kufanya biashara katika eneo la barabara...viongozi wenu wanaendelea kuwasajili Ili kuwahamishia kwenye mitaa tuliyoipanga".Alisema Mhe.Matinyi


Kwa upande wake mwenyekiti wa wafanyabiashara hao Bw.Hashim Joram amemuhakikishia Mkuu wa wilaya kuwa ifikapo kesho zoezi la kuwasajili litakuwa limekamilika na mwisho wa mwezi huu wafanyabiashara wote watakuwa kwenye maeneo yaliyopangwa.


"Usajili unaendelea na leo tumefanya upande huu wa darajani,kesho tunahama upande wa pili na mpaka sasa timeshasajili wafanyabiashara 269,kesho wote hawa tunaenda kwenye mitaa yetu kugawana maeneo".Alisema Mwenyekiti huyo


Eneo hilo la Mbagala limekuwa na mkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara hao ambao wamekuwa wakifanya biashara zao hali ambayo inasababisha uchafuzi wa Mazingira hayo na kuhatarisha usalama wao kwa kupanga bidhaa kwenye barabara hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke