• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WANANCHI 72 WAPATIWA VIWANJA VYAO VILIVYOCHUKULIWA TEMEKE

Posted on: April 14th, 2023

Na:Shalua Mpanda-TMC Habari

Halmashauri ya manispaa ya Temeke imetekeleza kwa vitendo agizo la mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan la kutatua changamoto za wananchi hasa suala la migogoro ya ardhi mara baada ya kukabidhi hati za viwanja 72 kwa wananchi  waliochukuliwa maeneo yao.

Akikabidhi hati hizo leo April 14,2023 Mstahiki meya wa manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika amesema wananchi hao walichukuliwa maeneo yao na Halmashauri hiyo miaka mingi iliyopita ili kuyatumia kwa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo ujenzi wa shule na nyinginezo.

Mhe.Mtinika ameongeza kusema kuwa kutokana na ukosefu wa maeneo ya kujengea miundombinu ya huduma za kijamii,inafikia wakati Halmashauri inachukua maeneo ya wananchi lakini wananchi hawana budi kurejeshewa ardhi yao.

 "Leo tumelipa maeneo tuliyochukua na tunawashukuru kwa uvumilivu wenu,viongozi Temeke wanapenda kutenda haki.Kilichotokea hapa leo ni uwezo wa manispaa kutatua migogoro yake ya ndani yenyewe".Alisema Meya huyo.

Awali akisoma taarifa kwa Mstahiki meya,Mkurugenzi wa Manispaa hii ndugu Elihuruma Mabelya amesema katika kutekeleza kwa vitendo dira na dhamira ya manispaa ya Temeke,wameweza kutatua migogoro mitatu kati ya migogoro mikubwa sita.

Mkurugenzi huyo ameitaja migogoro hiyo kuwa ni ule wa Keko Akida na Wananchi,mgogoro mwingine ni wa wananchi uliotokana na uvamizi wa maeneo ya NSSF pamoja na huu wa wananchi 72 ambao wamepatiwa viwanja mbadala katika eneo la Tundwi Songani kata ya Pemba Mnazi manispaa ya Kigamboni.

Hatua hii ya manispaa ya Temeke kuwapatia viwanja hivyo mbadala vyenye thamani ya shilingi 273,564,00 kwa wakazi hao 72 imeondoa kilio cha wakazi hao cha muda mrefu cha kufuatilia maeneo yao huku baadhi yao wakiwa wameshafariki.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke