• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WANANCHI WAPONGEZA ZIARA YA MKUU WA WILAYA MHE. MUNKUNDA

Posted on: June 13th, 2023


Na:Shalua Mpanda


Ziara ya mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe.Mwanahamisi Munkunda kutembelea kata zote 23 katika Wilaya hii imeanza kuonesha mwanga wa matumaini kwa wananchi huku baadhi ya wananchi wakimuomba Mkuu huyo wa wilaya kutembelea kata hizo mara kwa mara.


Wakiongea kwa nyakati tofauti mara baada ya mkutano wa mkuu wa Wilaya uliofanyika leo Juni 13,2023 katika kata ya Sandali,wananchi hao wamesema kuna changamoto nyingine zinahitaji ufafanuzi tu kutoka kwenye Mamlaka husika hivyo wanaishukuru Serikali ya wilaya kuanzisha utaratibu huu wa kuwafuata wananchi na kusikiliza changamoto zao.


Bi.Husna Arafat mkazi wa kata hiyo amesema mkutano huo na mkuu wa wilaya umemsaidia kufahamu mambo mengi likiwemo la Mfuko wa kunusuru kaya maskini(TASAF).


"Mimi nilikuwa najua kuwa ukiwa mzee au mtu mzima tu unakuwa unaweza kuwa kwenye kupata pesa za TASAF....kumbe kama una nyumba yako tu unakuwa umekosa sifa za kupata pesa hizo".Alisema Bi.Husna.


Awali akimkaribisha Mkuu wa wilaya,diwani wa kata ya Sandali Mhe.Christopher Kabalika amesema mbali na baadhi ya changamoto zilizopo katika kata hiyo,anamshukuru Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea kiasi cha shilingi milioni 68.7 kwa ajili ya ukarabati wa shule ya msingi Vetenari.


Ziara hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Mkana Mkana na baadhi ya wakuu wa Idara ambao nao walishiriki kutoa majibu ya kitaalam.


Ziara hiyo ya Mkuu wa wilaya kutembelea kata zote 23 iliyopewa jina la "Dc Mlangoni kwako" inaendelea kesho Juni 14 katika kata ya Tandika ambapo Chaneli ya mtandaoni-Youtube ya manispaa ya Temeke(TMC TV) itarusha matangazo hayo Mubashara(Live) kuanzia saa 8 kamili alasiri.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke