• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WATOTO WAPEWA MBINU KUJILINDA DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA

Posted on: November 2nd, 2023

Na: Sweetbetter Njige

TMC Habari.


Kuelekea maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kupinga  ukatili wa kijinsia, leo Novemba 2,2023 manispaa ya Temeke  kupitia idara ya Maendeleo ya jamii imetoa elimu kwa Wanafunzi wa shule za msingi Sandali, Mtoni na Matern Lumbanga ili kukuza uelewa kuhusiana na suala zima la unyanyasaji wa kijinsia, namna ya kujilinda na kuripoti vitendo vya kikatili.


Akizungumza katika zoezi hilo afisa maendeleo ya jamii mwandamizi Bi. Herieth Kamara amesema elimu hiyo inatolewa kwa wanafunzi kwakua bado ni watoto, hivyo wapo kwenye hatari zaidi ya kukutana na vitendo vya unyanyasaji. Alisema


"Tunatoa elimu kwa Wanafunzi kwenye shule za msingi katika kata mbalimbali, mafunzo haya yanatolewa kwa kundi hili kwakua lipo kwenye hatari zaidi, wanakumbana na ukatili majumbani, shuleni na kwakua wengi hawajui namna ya kutoa taarifa juu ya ukatili, tunaimani kuongea nao kunaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine"


Kwa upande wake muwezeshaji wa semina hiyo kutoka dawati la jinsia kituo cha Polisi Chang'ombe ACP Blandina Ndunguru amesema ni muhimu kwa watoto kufahamu maana ya unyanyasaji aina zake na namna ya kujilinda.


"Mara nyingi watoto hunyanyaswa na watu wa karibu hususani wazazi, ndugu na majirani, tunafanya hivi wafahamu namna ya kujilinda wenyewe, lakini wazazi pia wanatakiwa kuacha kutanguliza maslahi mbele badala ya kujali utu wa watoto".


Mafunzo hayo yanayofadhiliwa na UN Women yataendelea kufanyika katika shule  mbalimbali za msingi  wilayani Temeke, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia ambayo  kilele chake  kitakua Novemba 25, 2023.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke