• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUSHIRIKI USAFI WA MWISHO WA MWEZI

Posted on: November 23rd, 2022

Novemba 23,2022 mkuu wa wilaya ya Ilala Mheshimiwa Ng`wilabuzu Ndatwa Ludigija amemuwakilisha Mkuu wa wilaya ya Temeke katika kikao kazi kilichowahusisha Wakuu wa Idara na Vitengo, Watendaji wa Kata na Mitaa,pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ambapo licha ya kuzungumzia masuala mengine ya kiutendaji aliweka mkazo kwenye suala zima la ushiriki wa Watumishi wa Umma na Wananchi katik kampeni ya usafi wa mwisho wa mwezi.


Akizungumza katika kikao hicho mhe. Ludigija alitoa agizo kwa Watumishi wa Umma kuhakikisha wanashiriki zoezi la usafi badala ya kuwaachia Viongozi na Wananchi peke yao,alisema.


"Kama Kamati yangu ya Ulinzi na Usalama itashiriki, sitegemei kwamba atatokea Mtumishi ambaye hatashiriki usafi wa mwezi huu, kama hutokuwepo anza kutoa taarifa na zikubalike, kwamba kwanini wewe hutaki kuwa sehemu ya kulifanya Jiji letu la Dar es Salaam kuwa safi, pia nitumie nafasi hii kuwataka Wananchi wa .... Dar es Salaam kushiriki kwenye usafi wa mwisho wa mwezi, yaani Mtu aone fahari kuwa sehemu ya kuifanya ...Dar es Salaam kuwa safi".


Aidha Mhe. Ludigija alitoa agizo kwa Wafanyabishara wanaoendelea kufanya shughuli zao katika maeneo ya hifadhi za barabara na yale yote yaliyokatazwa kwenda katika masoko yaliyopangwa na kuwaagiza viongozi wa mitaa kusimamia utekelezaji wa agizo hilo ili kuendelea kuiweka Dar es Salaam katika hali ya usafi.


"Serikali imejenga masoko kuwezesha Wananchi kupata huduma iliyo bora, hivyo tunataka wafanyabiashara waliopo kwenye mitaa..... kuondoka kwenye maeneo waliyokatazwa kufanya biashara na waende kwenye maeneo rasmi"


Kadhalika Mhe. Ludigija amewataka wafanyabiashara kutokufunga biashara wakati wa zoezi la usafi ,badala yake wajitokeze kwenye maeneo yao ya Biashara,na kwenye barabara zinazokatiza kwenye maeneo hayo wafanye usafi,wakishamaliza waendelee kufanya Biashara zao.


Kampeni ya "SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM" iliyoasisiwa na mkuu wa mkoa huu Mhe. Amos Makalla inaendelea kushika hatamu kwa kufanyika katika maeneo mbalimbali,ambapo inahusisha Viongozi na Wananchi,lengo likiwa ni kuweka mazingira katika hali safi na ya kupendeza.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke