• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA TEHAMA

Posted on: August 12th, 2021


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wametoa elimu juu ya matumizi sahihi ya TEHAMA kwa watumishi wa manispaa ya Temeke. Tukio hilo la utoaji elimu limefanyika leo Agosti 10,2021 katika ukumbi wa Manispaa (Iddi Nyundo) na kuhudhuriwa na mkurugenzi wa manispaa hiyo ndugu Elihuruma Mabelya,wakuu wa Idara na watendaji wa Kata zinazounda manispaa ya Temeke.

Katika mafunzo hayo, wataalamu hao wa TCRA na TAKUKURU wamelenga kukuza uelewa juu ya namna sahihi ya matumizi ya TEHAMA, kufafanua sheria na kanuni za mitandao kwa watumishi.

Akitoa ufafanuzi kuhusu mambo wanayopaswa kufanya watumishi ili kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya TEHAMA,Afisa TEHAMA wa TCRA ndugu Hatibu Chande amesema ni muhimu kwa kila mtumishi wa Umma kuzingatia matumizi sahihi ya TEHAMA ikiwemo kutokutumia akaunti za ofisi kufanya mambo binafsi,kuhakiki taarifa ili kutokutoa taarifa za uongo pamoja na kuzingatia kujilinda.

"Tunajua moja kati ya changamoto kubwa katika mitandao ni 'fake news', wizi wa mtandaoni na virusi vya kompyuta.....Tunaweza kujilinda kwa kuhakikisha taarifa,na kuweka 'anti-virus' kwenye kompyuta zetu na tusitumie akaunti za ofisi kufungua akaunti binafsi".Alisisitiza Ndg. Chande.

Naye mwanasheria kutoka TCRA Violet Esseko (SLO) amefafanua sheria na kanuni mbalimbali za mitandao na kuwasisitiza watumishi kufikisha elimu wa wananchi ili watambue na kujiepusha na makosa ya kimtandao.

Wakati huo huoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kupitia mtoa elimu mwakilishi Ndg. Esther Mkokota imesisitiza TEHAMA kutumika ipasavyo katika kubainisha vitendo vya rushwa kwa kutumia 'Application' ya PCCB na namna nyingine za KITEHAMA ili kuondoa vitendo vya rushwa nchini Tanzania.

Kwa upande wake mkurugenzi manispaa ya Temeke Ndg. Mabelya amewashukuru waelimishaji hao na kuahidi kufanyia kazi elimu na ushauri uliotolewa juu ya kutumia TEHAMA kwa ufasaha.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke