• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Wazee Temeke Wampongeza Rais Magufuli

Posted on: October 1st, 2019


Wazee wa wilaya ya Temeke wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Joseph Magufuli kwa jitihada mbalimbali anazozifanya katika kuleta maendeleo.


Pongezi hizo zimetolewa Oktoba Mosi wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee ,ambayo kiwilaya yamefanyika katika ukumbi wa manispaa, maarufu kama Idd Nyundo.


Wakizungumza kwa nyakati tofauti wazee hao wamesema kwamba katika awamu ya Rais Magufuli wameona maendeleo makubwa ,ambayo hawakutegemea kuyaona ,lakini kutokana na jitihada na uchapakazi wa Mhe. Rais sasa wanashuhudia barabara za lami mitaani,ununuzi wa ndege,ujenzi wa madaraja,ujenzi wa reli ya kisasa,ujenzi wa hospitali,vituo vya afya na zahanati,miradi ya umeme,elimu bure na mengine mengi.


Aidha wamemshukuru Mhe. Rais kwa namna ambavyo amekuwa akiwajali na kuwathamini ,hata kufikia hatua ya kuona umuhimu wa wazee kupatiwa kadi maalum ambazo zinawawezesha kupata huduma za afya bila kuchangia fedha,jambo ambalo limesaidia kupunguza changamoto za kiafya ambazo zinawakabili kutokana na umri wao.


Katika hatua nyingine wazee wamebainisha changamoto zinazowakabili ,ambapo changamoto kubwa ni ukosefu wa baadhi ya dawa wanazoandikiwa pamoja na ucheleweshaji wa malipo yao ya kustaafu (kiinua mgongo).


Naye Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ambaye pia ni Mkuu wa idara ya  Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji  wa manispaa   ya Temeke ndugu  Deogratius  Lukomanya  ameahidi kushughulikia changamoto zote zilizo ndani ya uwezo wa manispaa,na zile  ambazo zinahusisha mambo ya kisera zitapelekwa serikali kuu ili ziweze kutatuliwa .


Siku ya wazee huadhimishwa kila Oktoba mosi, ambapo kwa mwaka 2019,Siku hiyo kitaifa, imeadhimishwa mkoani Mtwara.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke