• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WAZIRI BASHUNGWA AMUAGIZA MKANDARASI KUMALIZA KAZI KWA WAKATI

Posted on: July 8th, 2022

Waziri wa nchi ofisi ya Rais – TAMISEMI  mheshimiwa Innocent Bashungwa amemuelekeza mkandarasi mshauri ‘Group Six International Limited’ kuhakikisha kuwa kufikia Septemba 30,2022 mradi wa ujenzi wa barabara ya Nzasa Kilungule - Buza uwe umekamilika .


Waziri Bashungwa ametoa maelekezo hayo leo  Julai 08,2022 wakati  wa ziara yake ya utekelezaji wa ilani ,aliyoifanya katika halmashauri ya manispaa ya Temeke ambapo amekagua barabara ya Nzasa Kilungule Buza ,ujenzi wa daraja  pamoja na kituo cha mabasi Buza.


Mara baada ya kukagua barabara hiyo mheshimiwa Bashungwa alikuwa na haya ya kusema “Waheshimiwa wabunge wa Temeke wamekuwa wakifuatilia kwa nguvu kubwa sana  juu ya utekelezaji wa barabara hii ambayo tunaitembelea,barabara ya Nzasa Kilungule Buza.


Nimshukuru sana Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan  na serikali anayoiongoza ya awamu ya Sita alitoa bilioni 21.5 kwa ajili ya kutatua kero  ya  wananchi wa Temeke.Na mimi nimefika kwa niaba ya Mhe. Rais  kuona bilioni 21.5 ambayo alituwezesha kupitia ofisi ya Rais – TAMISEMI ,TARURA kwenye miradi ya DMDP , utekelezaji wa hii barabara unavyokwenda.


Nikupongeze sana pia Mhe. mkuu wa Wilaya kwa namna ambavyo umesimamia  jambo hili, lakini  kwa ujumla unavyosimamia  utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ndani ya  wilaya ya Temeke,lakini vile vile Mkurugenzi  kwa namna ambavyo unamsaidia mkuu wa Wilaya katika kusimamia  yale ambayo yanahusu Halmashauri”


Naye mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo amemhakikishia Mhe. Bashungwa kuwa shughuli za serikali wilayani humu zinasimamiwa vizuri.”Mhe. sisi kazi yetu kubwa ni kuhakikisha tunasimamia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi,kusimamia fedha ambazo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan analeta kwa ajili ya kuwakomboa Wananchi.”Alisisitiza Mhe. Jokate.


Akizungumza kwa niaba ya Wananchi, diwani wa kata hiyo Mhe. Said Fella amesema “Sisi kama Wanakilungule kwanza tunamshukuru mama Samia kwa kutuwezesha, hii barabara kupitika,maana kulikuwa na changamoto sana,watu walikuwa wanatumia barabara moja tu ya Mbagala.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke