• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Waziri Jaffo Agiza Kuundwa kwa Bodi za Uendeshaji Masoko.

Posted on: December 1st, 2019

Waziri wa TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya DMDP wilaya ya TEMEKE.


Waziri wa TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo ameagiza kuundwa kwa bodi ya kusimamia uendeshwaji wa masoko ya kisasa yaliyojengwa kupitia  Mradi wa Uboreshaji Miundombinu  Jiji la Dar Es Salaam (DMDP).


Mhe Jaffo ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki baada ya kukagua ujenzi wa soko la Mbagala kuu na kijichi, wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya  ujenzi inayotekelezwa na serikali kupitia DMDP  ambapo amesema kwamba masoko yamekamilika, yanatakiwa yaanze kutumika, lakini hayawezi kuanza kutumika bila kuwekewa utaratibu wa kuyaendesha.


Akizungumza baada ya kuridhishwa na ujenzi ulipofikia Mhe. Jaffo amesema''Masoko yamekamilika sasa,pangeni utaratibu,yyaanze kufanya kazi.Nafahamu nilitos maelekezo masoko haya yaendeshwe kwa utaratibu maalum,mwongozo upo,sio kila mtu anaamua tu kwa staili yake ,fuateni utaratibu.Lazima masoko haya yawe na bodi,manispaa ya temeke mtakuwa mnayalea kwa muda wa mezi 6 ,wakati huo mnaandaa bodi itakayokuwa ikiyasimamia''.


Mhe Jaffo ameendelea kusema kwamba kwa kutokuwa na utaratibu usimamizi wa usafi na ukarabati hautaweza kufanyika,hivyo baada ya muda mfupi masoko hayo hayatakuwa katika hali nzuri .Ili yaendelee kuwa katika hali nzuri kama yanavyoonekana sasa ni vema ukawekwa utaratibu wa uendeshaji.


kuhusu utaratibu utakaotumika kwa wafanyabiashara kupata vizimba katika masoko hayo Mhe. Jaffo amesema kwamba wafanyabiashara waliokuwa waliokuwepo katika maeneo hayo kabla ya kupisha ujenzi ,ndio wapewe kipaumbele kwanza , baada ya hao, wengine wawekewe  utaratibu.


Jumla ya masoko 3  ya kisasa yamejengwa katika manispaa ya Temeke.Masoko hayo ni Soko la Kijichi lililopo katika kata ya Kijichi,Mbagala kuu lililopo katika kata ya Mbagala kuu na Makangarawe lililopo katika kata ya Mangarawe. Wakati  wakati masoko hayo yakiwa tayari kwa ajili ya kuanza kutumika.Mradi mwingine mpya wa ujenzi wa soko  jipya la kisasa la Mtoni unatarajiwa kuanza kutekelezwa katika kata ya Mtoni baada ya taratibu kukamilika.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI WA VITUO VYA KUKUSANYAJI MAPATO WASHIRIKI HAFLA YA PAMOJA

    June 21, 2025
  • MANISPAA YA TEMEKE YAPASUA ANGA KIMATAIFA, SASA NI MARAFIKI NA JIJI LA YONGKANG-CHINA

    June 20, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TEMEKE LAACHA ALAMA,LAIDHINISHA MIRADI LUKUKI KUTEKELEZWA 2025/2026

    June 20, 2025
  • NAPA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA MITAA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke