• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WAZIRI SHAMATA ATEMBELEA BANDA LA TEMEKE MAONESHO YA NANENANE

Posted on: August 3rd, 2023

Na: Sweetbetter Njige

Leo Agosti 03,2023 Waziri wa kilimo,umwagiliaji,maliasili na mifugo Zanzibar mheshimiwa Shamata Shaame Khamis  ameambatana na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima kutembelea banda la manispaa ya Temeke wakati wa ukaguzi wa mabanda ya washiriki wa maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere na kufurahishwa na mambo mbalimbali yaliyopo bandani hapo.


Akizungumza na waandishi wa habari Waziri Shamata amesema amefurahishwa na ushiriki wa manispaa ya Temeke na kutumia nafasi hiyo kuwasihi Wananchi kushiriki kikamilifu kujenga uchumi wa Taifa kupitia uzalishaji wa mazao ya chakula na ufugaji. Alisema


"Nimefurahi kupata nafasi kufika Temeke,  tunathamini sana jitihada mnazofanya na tunawasihi muongeze ufanisi katika kujenga uchumi wa Dar as Salaam na Nchi nzima kwa ujumla, kwa kuongeza uzalishaji wenye tija"


Aidha Waziri Shamata ameeleza nia ya dhati ya Serikali zote mbili (Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar) kuwekeza nguvu kubwa katika kilimo na ufugaji. Alieleza


"Kuzalisha kwa wingi kunasaidia kulinda amani ya Nchi, tujifunze kwa mengi yanayojitokeza katika Dunia kutokana na matishio ya njaa, kuna Nchi zimekosa amani kwasababu ya njaa, hivyo kazi yote inayofanyika hapa inalenga kutuliza na kuchochea amani ya Nchi, ni wajibu wetu kuongeza ufanisi katika uzalishaji ambao pia utasaidia kupunguza mfumuko wa bei"


Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Malima amemshukuru Mhe. Shamata kwa ziara yake na kueleza nia ya mkoa wa Morogoro na mikoa jirani kujifunza kutoka Zanzibar.


"Tumefarijika sana kukukaribisha Morogoro, uwepo wako umethibitisha undugu wetu,historia yetu na umoja wetu, kule Zanzibar kuna kilimo cha kimkakati cha karafuu, tunajipanga kuja kujifunza kuzalisha karafuu kwakua kuna misingi iliyoboreshwa kimasoko, tunataka kuanza kuzalisha karafuu kwa kufuata vigezo vinavyohitajika katika soko la Kimataifa na Zanzibar mnajulikana kwa hilo"


Manispaa ya Temeke inashiriki katika maonesho hayo ya Wakulima na Wafugaji na inawakaribisha Wananchi wote kufika bandani hapo ili kujifunza juu y

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke