• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

ZAIDI YA WANANCHI 1,800 WAPATA MATIBABU BURE KUTOKA JWTZ MBAGALA RANGITATU

Posted on: August 31st, 2022

Imeelezwa kuwa zaidi ya wananchi elfu moja mia nane wamepatiwa huduma za matibabu na uchunguzi wa Afya katika maadhimisho ya wiki ya majeshi ya Afrika mashariki kuanzia Agosti 29 mpaka Agosti 31,2022.

Hayo yameelezwa na mratibu wa zoezi hilo Kanali Kishosha kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kwa mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo wakati akitoa taarifa ya zoezi hilo leo Agosti 31,2022 katika hospitali ya Mbagala Rangitatu.

"Siku ya kwanza tulihudumia Wananchi mia tatu thelathini na zaidi,jana tumehudumia watu mia saba na zaidi na leo hii mpaka sasa tumeshahudumia Wananchi mia nane na muda unavyozidi kwenda naamini idadi itaongezeka".Alisema Mratibu huyo

Naye Meja Jenerali Iddy Nkambi ambaye alimuwakilisha Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Nchini,amesema kuwa maadhimisho ya wiki ya majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na shughuli nyingine za kijeshi,JWTZ limeshiriki kutoa huduma za kijamii zikiwemo matibabu bila malipo na kusaidia makundi yenye mahitaji maalum.

"Pamoja na majukumu yako mengi Mkuu wa wilaya umeamua kuja kushiriki na sisi kwenye tukio hili ambalo linawagusa wananchi ambao wanapatiwa huduma hii, na hili ni jukumu letu sote kuhakikisha jamii inakuwa salama".Alisema Meja Jenerali Nkambi

Wiki ya majeshi ya Afrika mashariki inafikia tamati kesho Septemba mosi ambapo kwa wiki nzima Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) wakishirikiana na majeshi washirika wa nchi za Afrika mashariki wameshiriki kufanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kutoa huduma za matibabu bure kwenye baadhi ya vituo vya kutolea huduma za afya hapa nchini.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke