• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

ZAIDI YA WANANCHI 82,340 WAHUDUMIWA ZAKHIEM KUPITIA " TEMEKE ONE STOP JAWABU"

Posted on: September 21st, 2020

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ndugu Lusubilo Mwakabibi ameyasema hayo wakati akiongea na waaandishi wa habari katika ukumbi wa Iddy nyundo Makao makuu ya Manispaa Jijini Dar es Salaam. 

Akiongea kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Godwin Gondwe  wakati akitoa tathimini ya Jukwaa la "ONE STOP JAWABU" kwa siku saba (7) katika viwanja vya Mbagala Zakhiem amesema tayari wananchi zaidi ya 82,340 wenye kero/ changamoto waliweza kuhudumiwa katika viwanja vya Zakhiem .

Aidha amesema Mkuu wa Wilaya Mhe Godwin Gondwe kwa kushiriana na ofisi yake wameandaa jukwaa la  kutatua kero za wananchi, jukwaa hilo litadumu kwa muda wa siku 14, ambapo katika siku 7 za kwanza taasisi za serikali , taasisi binafsi, makampuni na idara zilizoko katika Manispaa ya Temeke ziliweka kambi katika viwanja  vya Mbagala Zakheem,kuanzia tarehe14 hadi 20 Septemba.

Jukwaa hilo linalojulikana kama 'One Stop Jawabu- Temeke 2020', ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli  ambaye amesema  " wateule wangu na watumishi wote wa umma , tatueni kero za Wananchi" 

Katika kutekeleza agizo hilo,  taasisi 32 zilishiriki katika viwanja vya Zakhiem katika  kusikiliza,kuhudumia ,kutatua na kutoa majawabu ya  changamoto/kero za wananchi  papo  hapo.

Aidha kupitia jukwaa hilo,zaidi  ya wananchi 82,340 walihudumiwa na kupatiwa majawabu ya kero/changamoto.  

Jukwaa hilo litaendelea kwa siku nyingine 7,katika viwanja vya Mwembeyanga  kuanzia tarehe Septemba 22,2020  hadi  septemba 28,2020 .

'One Stop  Jawabu'  ni jukwaa ambalo limelenga kuzikutanisha taasisi zote za serikali na mashirika ya umma pamoja  kwa ajili ya kutoa majibu ya  changamoto na kero zinazowakabili wananchi. 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SHEREHE YA WALIMU YAFANA TEMEKE

    April 25, 2025
  • MEYA AZUNGUMZA MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • HAFLA YA UTOAJI MIKOPO, RC AKABIDHI HUNDI

    April 24, 2025
  • RC ANENA KATIKA HALFA YA UTOAJI MIKOPO YA 10%

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke