• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

RAIS JOHN MAGUFULI AZINDUA MAGARI 181 YA KUSAMBAZA DAWA NA VIFAA TIBA NCHINI KATIKA WILAYA YA TEMEKE

Friday 27th, June 2025
@KEKO

Rais John Pombe Magufuli azindua Magari 181 ya kusambaza Dawa na Vifaa Tiba Nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika bohari ya madawa MSD iliyopo katika Wilaya  ya Temeke.

Akieleza kuhusu Sekta ya Afya Nchini Mh Rais alisema ‘’miongoni mwa sekta zinazotengewa fedha nyingi na Serikali ni pamoja na Sekta hii”, Ukilinganisha na kipindi kilichopita Bajeti ya Dawa imeongezwa kutoka Bilioni 31 mpaka kufikia Bilioni 269  ili kuwafikia walengwa katika vituo vyote vya Afya hapa nchini alisisisitiza.

Pia aliwashukuru Global Fund kwa Msaada wao na juhudi walizofanya  hatimae kutupatia msaada wa Magari hayo.Pia aliwataka wazawa wachangamkie fursa ya kuanzisha Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba hapa nchini ili kupunguza gharama za ununuzi , Kwani asilimia 94 ya dawa zinanunuliwa nje ya nchi

Nae Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mh Ummy Mwalimu alimshukuru Mh Rais kwa kuwekeza kwenye Afya za Watanzania,pia aliweka wazi ‘’asilimia 97 ya watoto wote nchini wanapatiwa chanjo na kuanzia Julai 2017 Serikali ilianza kupeleka fedha za Dawa moja kwa moja kwenye Zahanati na Vituo vya Afya Nchi nzima’’ Alisema.

Pia Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bw Laurean Bwanakunu Alimshukuru Mh Rais Magufuli kwa kuongeza Bajeti ya  Bohari ya Dawa ,Pia alizungumzia magari hayo yana jumla ya thamani ya sh Bilion 20.7na kusisitiza msaada huo kutoka Global Fund hauna masharti yoyote.

Mwaka huu wa Fedha MSD imefanikiwa kuuza madawa yenye thamani ya  sh Bilioni 8,pamoja na uzinduzi huu Serikali ya Zanzibar imekubali kununua Dawa kutoka Bohari ya Dawa .

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATAALM WAWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    June 25, 2025
  • WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

    June 25, 2025
  • MFUKO WA FARAJA WAKABIDHI RAMBIRAMBI KWA WANACHAMA 14

    June 24, 2025
  • DC MAPUNDA ATEMBELEA CVIWANJA VYA JK NYERERE (SABASABA) KUKAGUA MAANDALIZI

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke