• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Mh. Lyaniva aipongeza TARURA, atembelea miradi inayoendelea ndani ya Wilaya ya Temeke.

Posted on: June 19th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Temeke  Mh. Felix Lyaniva,ametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara na madaraja  unaoendelea katika Manispaa ya Temeke unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania(Tanzania Rural and Urban Roads Agency -TARURA)

Katika ziara hiyo ameambatana na Eng Nico ambaye ndie msimamizi wa miradi hiyo katika Wilaya ya Temeke.

Mkuu wa Wilaya amefurahishwa na kasi inayoendelea katika ujenzi huo wa miundombinu ambayo itakuwa chachu ya maendeleo kwa wakazi wengi wa Manispaa na hata wa nje ya Wilaya ya Temeke.

Amesema anafurahishwa  na ujenzi  unavyoendelea na anaimani na wakandarasi waliopo katika maeneo ya kazi na kuahidi kuwafuatilia kwa ukaribu ili kuhakikisha wanamaliza kazi hizo kwa wakati

''sina mashaka kabisa na wakandarasi waliopo katika maeneo ya kazi, naimani watafanya kazi kwa wakati na kwa viwango vya hali ya juu ili kurudisha imani kwa wananchi kutokana na ubovu wa miundombinu uliotokea kipindi kilichopita''

Mh. Lyaniva alisema anaimani kubwa na wakandarasi waliopewa dhamana ya kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati, na katika viwango vya hali ya juu kwakuwa walifanya ushindani na kuibuka washindi.

kwa upande wa msimamizi  mkuu wa TARURA Wilaya ya Temeke Eng  Nico alisema, ujenzi unaendelea na wakandarasi wote wapo site na kazi inafanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kwa kuwa fedha zimetengwa ili kuhakikisha barabara na madaraja yanakidhi viwango vilivyothibitishwa kitaalam na kuepusha adhari zilizojitokeza kipindi cha masika.

''sitawaangusha nitahakikisha ujenzi huu unafanyika katika ubora wa kipekee na kukidhi viwango vinavyokubalika kisheria''Alisema Eng.

Aidha alibainisha hali ya barabara nyingi za Manispaa ya Temeke  ni mbovu na ziliharibiwa zaidi na mvua kubwa zilizo juu wastani zilizonyesha katika msimu wa masika mwaka huu .

Miundombinu inayoshughulikiwa kwa sasa nipamoja na barabara ya Kijichi Nasaco,  Mbosi,Chihota, Kiburugwa na Daraja la Mashine ya maji

TARURA ni wakala wa barabara za Vijijini na Mijini Tanzania, ni wakala wa wa serikali ambao wanatekeleza majukumu ya kuendeleza na kusimamia barabara za vijijini na mijini ambazo awali zilikuwa zikisimamiwa na kutekelezwa na mamlaka za Serikali za Mitaa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATAALM WAWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    June 25, 2025
  • WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

    June 25, 2025
  • MFUKO WA FARAJA WAKABIDHI RAMBIRAMBI KWA WANACHAMA 14

    June 24, 2025
  • DC MAPUNDA ATEMBELEA CVIWANJA VYA JK NYERERE (SABASABA) KUKAGUA MAANDALIZI

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke