• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

MEYA TINIKA APOKEA MADAWATI KUTOKA KWA WADAU WA MAENDELEO

Posted on: August 30th, 2024

Na:Shalua Mpanda


Mstahiki meya wa manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika leo Agosti 30,2024 amepokea msaada wa madawati 50 kutoka kampuni ya Euro Wood Crafts utakaosaidia kupunguza uhaba wa madawati katika shule za Manispaa hii.


Akizungumza wakati wa kupokea msaada huo,mheshimiwa Mtinika amemshukuru Mkurugenzi wa kampuni hiyo ndugu Zaki Ul Azam kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha mazingira ya elimu.


"Msaada huu umekuja wakati muafaka na nitoe wito kwa wanafunzi kuyatunza madawati haya ili yadumu na kuwashawishi ndugu zetu hawa waendelee kutuletea msaada zaidi".Alisema Mtinika


Kwa upande wake muwakilishi wa Kampuni hiyo Bi. Nancy Mallya amesema kampuni hiyo yenye makazi yake kata ya Mtoni imekuwa ikitoa misaada yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali kwa muda mrefu ambapo mwaka 2023 ilitoa pia idadi kama hiyo ya madawati.


Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi wilayani Temeke ndugu Abdul Buheti ametoa wito kwa wadau wengine kujitokeza kusaidia sekta ya elimu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna idadi kubwa ya uandikishwaji wa watoto kutokana na Serikali kutoa elimu bure.


Madawati hayo yamegawanywa katika shule mbili zenye idadi kubwa ya wanafunzi wilayani Temeke ambazo ni shule ya msingi Mchikichini iliyopata madawati 20 na Kilamba iliyopata madawati 30.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATAALM WAWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    June 25, 2025
  • WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

    June 25, 2025
  • MFUKO WA FARAJA WAKABIDHI RAMBIRAMBI KWA WANACHAMA 14

    June 24, 2025
  • DC MAPUNDA ATEMBELEA CVIWANJA VYA JK NYERERE (SABASABA) KUKAGUA MAANDALIZI

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke