• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

Posted on: June 25th, 2025

"Furaha na Kiu ya Wananchi ni kupata huduma, nasi TARURA tunasimamia hilo.. wakandarasi wapo 'site' wanafanya kazi na tutahakikisha wanafanya kazi kwa ubora na kwa wakati ili Wananchi wapate huduma".


Ni Maneno yake Eng. Geofrey Mkinga, Meneja TARURA Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akifanya Ukaguzi wa Miradi ya Barabara inayotekelezwa Temeke chini ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)


Na hizi ni Barabara zilizotembelewa


1. Masaki Road yenye urefu wa 3.91km inayojengwa kwa tabaka la zege kwa fedha za DMDP Awamu ya pili Tshs, 10,665,758,958 chini ya Mkandarasi CRJE


2 Diwani Road yenye urefu wa 0.67 km kwa Fedha ya DMDP awamu ya Pili kwa gharama ya shs 1,679,566, 713 kwa tabaka la zege chini ya Mkandarasi CRJE


3.Basra Road yenye urefu wa 0.9km inayojengwa kwa tabaka la Zege kwa kutumia fedha za DMDP Awamu ya pili kwa thamani ya Tshs. 2,220,837,999.50


4.Chamaruba Road yenye Ujenzi wa karavati na barabara 1 km kwa kiwango Cha Changarawe kwa Thamani ya Tshs 84,515,061 fedha kutoka Mfuko wa Barabara.


5.Dr. Omary Road yenye Urefu wa 0.6km kwa kiwango Cha zege kwa thamani ya Tshs 607,025,700 ikiwa ni fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri.


"TARURA tupo kazini, tukikufungulia Barabara kufika pasipofikika"


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATAALM WAWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    June 25, 2025
  • WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

    June 25, 2025
  • MFUKO WA FARAJA WAKABIDHI RAMBIRAMBI KWA WANACHAMA 14

    June 24, 2025
  • DC MAPUNDA ATEMBELEA CVIWANJA VYA JK NYERERE (SABASABA) KUKAGUA MAANDALIZI

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke