• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MAONO YAKE

Posted on: January 20th, 2022

Kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam siku ya Januari 15,2022 ilifanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Temeke kwa kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa kupitia fedha za mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko-19.

Akiongoza ziara hiyo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bi. Kate Kamba alisema viongozi na wananchi wa Tanzania wanajivunia Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo makubwa aliyoyatenda kwa kipindi kifupi tangu aingie madarakani huku akiwapongeza viongozi wa Wilaya na halmashauri ya manispaa ya Temeke kwa kusimamia miradi iliyokamilika kwa wakati.

"Namshukuru sana Mama Samia Suluhu kwa kuona na kukamilisha haya kwa muda mfupi tu, ametusaidia kutoa elimu nzuri kwa watoto wetu".Alisema Mwenyekiti huyo.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo alimshukuru Mwenyekiti huyo kwa kuweza kufika na kukagua miradi ambayo ambayo wananchi wa Temeke watanufaika nayo.

"Temeke tumekua wanufaika wa mradi huu cha  ambao utapunguza msongamano wa wanafunzi darasani, tunaomba Mama Kate utume salamu zetu kwa mhe. Rais tunamshukuru sana".Aliongeza Mhe.Jokate

Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ndugu Elihuruma Mabelya alisema kuwa sasa kazi kubwa iliyo mbele yao kama Manispaa ni kuhakikisha inajenga matundu ya vyoo kuendana na idadi ya madarasa na ujenzi wa maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.

"Kama Manispaa tulishakuwa na mpango wa kujenga madarasa 147 kabla ya haya madarasa ya Mama, tutatumia fedha zile kujenga na kuboresha vyoo, ofisi za walimu,maabara za sayansi na maabara za kompyuta, niwaahidi wananchi wa temeke kuwa hali ya elimu inaenda kubadilika".Alisisitiza Mabelya

Mkuu wa shule ya Sekondari Toangoma Mwalimu Christopher Lucas Mtabutu alionesha kufurahishwa kwake na ujenzi huo wa madarasa ambayo yatakuwa chachu katika ufaulu wa wanafunzi.

Ziara hii ni ukaguzi wa mwisho kuelekea kuanza kwa  muhula wa masomo wa  mwaka 2022  siku ya Jumatatu Januari 17 ambapo wanafunzi wa kidato cha kwanza wanatarajia kuanza rasmi masomo yao.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATAALM WAWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    June 25, 2025
  • WATAALAM WAKAGUA BARABARA ZITAKAZOPITIWA NA MRADI WA DMDP PHASE II

    June 25, 2025
  • MFUKO WA FARAJA WAKABIDHI RAMBIRAMBI KWA WANACHAMA 14

    June 24, 2025
  • DC MAPUNDA ATEMBELEA CVIWANJA VYA JK NYERERE (SABASABA) KUKAGUA MAANDALIZI

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke