Bibi Delphina Wambura
Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kupitia idara ya mifugo na uvuvi inatoa huduma za ushauri na elimu juu ya uvuvi halali wa viumbe hai wa baharini, Pia inatoa elimu ya uzalishaji wa viumbe hai katika mabwawa ili kujikwamua kiuchumi.
Idara ya Uvuvi imegawanyika katika sehemu zifuatavyo;
SHUGHULI ZA UVUVI
Eneo la bahari la Manispaa ya Temeke liko katika kata za kurasini,Mtoni na Kijichi. Shughuli zinazofanyika hasa kwenye eneo lenye Mikoko ni ukusanyaji na ufugaji wa kaa, kamba na mazao mengine ya baharini kama Simbi.
Aidha ufugaji wa samaki aina ya Perege na Kamabare hufanyika katika kata zote za Temeke ambapo kuna jumla ya mabwawa 33 yanayotumika kwa ufugaji huu.
MAJUKUMU
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke