• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Miongozo Mbalimbali

uhamisho.pdf



MWONGONGOZO WA USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII VYAHUDUMA NDOGO ZA FEDHA CMG NAMNA YA KUSAJILI VIKUNDI VYA KIJAMII VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

Ili kusajili kikundi zipo hatua mbalimbali zakufuata kama ifuatavyo:-


HATUA YA KWANZA 

Tumia tovuti: https//cmg.bot.go.tz/cmg-portal 


HATUA YA PILI 

Bofya neno sajili ili kuingiza taarifa za kikundi kisha bofya tena neno sajili lililopo chini upande wa kulia wa fomu ya taarifa.


HATUA YA TATU 

Angalia ujumbe uliotumwa kwenye barua pepe (Email) uliyosajilia kisha bofya neno Huisha akaunti.


HATUA YA NNE

Baada ya kubofya neno huisha sasa unaweza kuweka barua pepe (Email) na nywila (password) ili kuingia kwenye akaunti ya kusajilia kikundi.


HATUA YA TANO

Ingiza taarifa za viongozi (wasifu wa viongozi CV).


HATUA YA SITA

Ingiza taarifa ya wanachama NB: lazima kila mwanachama ajulikane aina ya kitambulisho anachotumia.

                                     

HATUA YA SABA           

Weka viambatisho vyote ambavyo ni;-Fomu ya Maombi, Katiba ya kikundi iliyosainiwa na wanakikundi, azimio la wanachama, Muundo wa kikundi, Mihutasari miwili (awali na uanzishwaji wa kikundi), Barua ya utambulisho kutoka ofisi ya serikali ya mtaa/ Kata, Majina ya wanakikundi, Majina ya viongozi na Uthibitisho wa malipo ya ada ya wanakikundi.  NB: viambatisho vyote lazima viwe kwa mtindo wa (pdf).


HATUA YA NANE

Hakiki maombi.


HATUA YA TISA 

Tuma na wasilisha maombi baada ya hapo mtuma maombi utatakiwa kusubiri taarifa kutoka ofisi ya msajili,

NB: 1. Maombi yanaweza kupokelewa na kukubalika kulingana na usahihi wa taarifa hivyo utapewa taarifa ya kuchukua cheti sehemu utakayoelekezwa.

        2. Maombi yanaweza kupokelewa na kurudishwa ili kuhariri taarifa kama taarifa hazipo sahihi.


HATUA YA KUMI

Msajili atapokea maombi kasha kuhakiki taarifa baada ya hapo atazituma kwa mkuu wa idara wa maendeleo ya jamii (MCDO).


HATUA YA KUMI NA MOJA

MCDO atapokea maombi ya usajili kutoka kwa Msajili ambayo yana maelezo kuhusu kikundi kutoka kwa msajili yahusuyo usahihi wa taarifa, kama taarifa zipo sahihi atathibitisha na kutuma kwa Mkurugenzi (MD).


HATUA YA KUMI NA MBILI

Mkurugenzi atapokea Maombi ya kikundi yenye maelezo ya usahihi wa kikundi kutoka kwa MCDO kisha ataidhinisha kusajiliwa kwa kikundi na cheti kutolewa na msajili.


HATUA YA KUMI NA TATU

Msajili atatoa cheti na kisha kutoa taarifa kwa wanakikundi kwa ajili yakupata hati yao ya usajili na namna watakavyoipata.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke