• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

TEMEKE KUANDAA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO.

Posted on: January 27th, 2026

Ni Warsha Maalum ya kupanga Mikakati iliyofunguliwa rasmi leo Januari 26, 2026 katika Ukumbi wa Iddy Nyundo Manispaa ya Temeke ikibeba lengo kuu la kujadili na kuandaa Mpango Mkakati wa Halmashauri wa Miaka mitano yaani kuanzia 2026 hadi 2031.

Akizungumza wakati wa Kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke,  Ndg. Cassim Mfaume amewahimiza Washiriki wa Kikao hicho ambao ni Wakuu wa Idara, Sehemu na Vitengo kuwa makini kuhakikisha wanapanga Mipango  bora na muhimu  inayoweza  kutekelezeka kwa wakati.

" Natambua jukumu lililopo ni muhimu sana kwa mustakabali wa Manispaa yetu kwa Miaka Mitano ijayo, hivyo ni muhimu kuzingatia Weledi na muda wenu ili kukamilisha jukumu hilo kwa wakati", alisema Ndg. Mfaume.

Kwa Upande wake Mwezeshaji wa Kikao hicho Profesa Baltazary Namwata  amewataka Washiriki wote kushirikiana ipasavyo  kwani wao ndiyo wenye taarifa muhimu za Idara na Vitengo huku akiongeza kuwa taarifa hizo ndiyo msingi mkubwa wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano ijayo.

Halkadhalika, Profesa Namwata amewaasa Washiriki hao kuupitia Mpango Mkakati unaoishia Mwaka huu (Strategic planning 2026), Dira ya Taifa 2050, Hotuba ya Rais ya Uzinduzi wa Bunge la 13, Muongozo wa Taifa wa Kupanga 2025 (National Planning guideline 2025) na Nyaraka nyinginezo ambazo ni muhimu zinazowezesha kupata Msingi wa jinsi gani watakwenda kutekeleza Mpango Mkakati wa Miaka Mitano ijayo.

Warsha hii inatarajiwa kufanyika kwa muda wa Siku 5 yaani Januari 26-30, 2026 ambapo kuanzia kesho Januari 27, 2026 itafanyika katika Ukumbi wa Maabara  Kuu ya Mifugo ya Taifa Sokota Veterinary.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • LIPA USHURU WA HUDUMA ZA HALMASHAURI June 21, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC CHALAMILA AKABIDHI HUNDI YA BILIONI 7.5 MIKOPO YA ASILIMIA KUMI KUNDI LA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU TEMEKE.

    January 27, 2026
  • RC CHALAMILA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUSHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA YA RAIS SAMIA, ATOA AHADI YA MILIONI 5 SHULE YA MSINGI GOROKA 'A'.

    January 27, 2026
  • TEMEKE KUANDAA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO.

    January 27, 2026
  • WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUM WAWEZESHWA TEMEKE.

    January 26, 2026
  • Angalia zote

Video

TEMEKE YAWEZEKEZA BILIONI 35 SEKTA YA ELIMU PEKEE MWAKA WA FEDHA 2025/26
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke