• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa(iCHF)

Bima ya Afya Jamii iliyoboreshwa (iCHF) ni Bima ya Afya iliyoanzishwa na Serikali ya Tanzania chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto.

KUJIUNGA

Fika katika ofisi ya Serikali ya Mtaa, Kata au Ofisi ya Mganga Mkuu Manispaa ya Temeke ukiwa na kitambulisho chochote.

GHARAMA

Kwa Mtu mmoja ni shilingi 40,000/= na kwa kaya ya watu wasiozidi sita (Watu wazima wawili na Watoto chini ya miaka 18 wanne) ni shilingi 150,000/= kwa mwaka mmoja.

HUDUMA

Huduma zinazotolewa kwa mwanachama  mwenye kadi ya CHF iliyoboreshwa kuanzia Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Wilaya Mwisho Hospitali za Mikoa nchi nzima.

ZAHANATI

  • Ushuru wa daktari
  • Vipimo vya maabara
  • Dawa
  • Uangalizi
  • Huduma za kujifunguana zote zinazoendana na uzazi

KITUO CHA AFYA

  • Vipimo
  • Vya maabara
  • Vipimo vya picha(x-ray na ultra sound)
  • Dawa
  • Kulazwa
  • Upasuaji (wa kawaida na mdogo)
  • Huduma za kujifungua na zote zinazoendana na uzazi

HOSPITALI YA WILAYA

  • Ushauri wa daktali
  • Vipimo vya maabara
  • Vipimo vya picha (X-ray na ultra sound)
  • Dawa
  • Kulazwa
  • Upasuaji (wa kawaida, mdogo na mkubwa)
  • Huduma za kujifungua na zote zinazoendana na uzazi

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA

  • Huduma za rufaa zilizopo kwenye ngazi ya mkoa

Kwa Maelezi zaidi: Bofya hapa Kupakua kipeperushi cha iCHF.pdf

Uhamasishaji wa Wananchi kujiunga na bima ya Afya iliyoboreshwa (iCHF) viwandani Ukiendelea Tarehe 10/08/2021 



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke