• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Temeke Municipal Council
Temeke Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii, na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Uhusiano na Teknolojia ya Habari
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki na wanyama pori
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Utoaji wa Leseni za biashara
    • Utoaji wa Leseni za vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa hati na leseni za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)
    • Upimaji wa ardhi
    • Usajili wa vikundi vya kijamii
    • Uandikishaji wa bima ya afya ya jamii (iCHF)
    • Utoaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo
    • Kulipia ushuru na tozo za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za wahesimiwa Madiwani
      • Kamati ya fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango miji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Siku ya kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Vipeperushi
    • Mpango Mkakati wa Manispaa
    • Sheria ndogo
    • Miongozo mbalimbali
    • Ripoti
  • Chanzo cha habari
    • Gazeti Mtandao
      • Toleo Mei 2,2021
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Nyaraka
    • Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma
  • Mifumo

Utoaji wa Mikopo ya asilimia kumi (10%)

IDARA YA MAENDELEO YA JAMII

 

MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA KUTOA HUDUMA

 

Mifumo inayotumika katika Idara yetu ni  TOMSHA na Usajili wa Vikundi vya  Huduma ndogo za fedha,

MFUMO WA TOMSHA

TOMSHA (Tanzania output Monitoring system for HIV Aids) ni mfumo wa kitaifa wa ufuatiliaji taarifa zisizo za kitabibu katika masuala ya Virusi vya Ukimwi.

Lengo la mfumo ni kukusanya  taarifa zote za kitabibu kutoka kwa wadau ikiwa ni ufuatiliaji wa shughuli za mapambano dhidi ya UKIMWI Kuanzia ngazi ya jamii hadi Taifa.

Wadau mbalimbali wa Ukimwi hupewa utaratibu maalum ya kutolea taarifa zao na kuwasilishwa ngazi ya Wilaya kila robo. Taarifa huwasilishwa ngazi ya Halmashauri zinaingizwa kwenye mfumo wa Kieletroniki wa TOMSHA na kuzitumia Tume ya kudhibiti UKIMWI( TACAIDS)

Faida zake

Kujua idadi ya wanaofanya shughuli za mapambano dhidi ya UKIMWI Manispaa

Kujua afya shughuli zinazofanywa na wadau wamefikia walengwa wangapi kwa umri na jinsi

Kujua watu wangapi wamefikiwa na huduma( mf kugawa kondom, chakula,vifaa vya shule)

Kurahisisha utoaji taarifa kutoka ngazi ya jami hadi Taifa.

Mfumo husaidia kujua changamoto zinazowapta wadau kupitia sehemu ya maoni ndani ya mfumo.

Mfumo unasaidia katika kupanga bajeti kwa sababu unajua mapungufu ya wadau na eneo gani kujengewa uwezo.


MFUMO WA USAJILI WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA(CMG)

Mfumo wa  usajili wa vikundi vya  huduma ndogo za fedha ( community micro finance group) ni mfumo unaosimamiwa  na BOT na kukasimisha mamlaka hayo katika serikali za Mitaa  Kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha, 2018

 Kikundi cha Kijamii cha Huduma Ndogo za Fedha ni Kikundi kilichoanzishwa na kusimamiwa na Wanakikundi na kusajiliwa kwa mujibu wa Sheria hii kwa ajili ya kufanya shughuli za Huduma Ndogo za Fedha, ikiwemo kukusanya akiba kutoka kwa Wanakikundi na kutoa mikopo.

Mfumo wa usajili wa vikundi vya kijamii vya huduma ndogo za fedha una faida zifuatazo;-

  • Mfumo unasaidia kupunguza msongamano wa wananchi katika ofisi moja kwani unamruhusu mtu yoyote kufanya usajili akiwa mahali popote.
  • Mfumo unasaidia kupunguza gharama haswa za usafiri kwani hakuna haja yakufika katika ofisi za halmashauri kupata maelekezo dhidi ya makosa yaliyojitokeza wakati wa usajili kwa sababu maelekezo yote hutumwa kwenye mfumo huo
  • Pia mfumo unasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa haswa ni yale ya mfumo wa hewa hususani ni katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona
  • Pia mfumo unasaidia kuzuia urudiaji wa wajina ya vikundi kwani huruhusu jina moja, ikitokea kikundi kitatumia jina hilo tena mfumo unauwezo wakumtaarifu mtumiaji kuwa jina limesha tumika na halitaruhusiwa kusajiliwa
  • Mfumo unasaidia kutunza kumbukumbu za vikundi kwani daftari la usajili lipo katika mfumo tayari
  • Mfumo unasaidia uandaaji wa haraka wa taarifa za vipindi mbalimbali kuhusiana na usajili wa vikundi

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA BAADA YA USAILI KWA AJILI YA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE March 05, 2025
  • TANGAZO MUHIMU July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TANGAZO

    April 08, 2025
  • TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

    April 07, 2025
  • KAMPENI YA SOMA NA MITI YATEKELEZWA

    April 04, 2025
  • TEMEKE YAJIDHATITI KUTEKELEZA MIRADI YA MIKUBWA YA MAENDELEO

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU YA BAJETI 2025/2026
Picha jongefu za ziada

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Salary Slip Portal
  • Email za watumishi wa serikali TemekeMC (GMS)
  • National WASH Data Platform
  • Instagram
  • Facebook

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Taifa
  • TANEPS
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
  • Utumishi
  • Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.

    Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam

    Simu ya Mezani: +255 22-2928132

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Mtandao

Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke